Kipis
JF-Expert Member
- Jul 23, 2011
- 492
- 61

WanaJF hususan wanaume wenye majogoo yasiyopanda mitungi,

Nataka niwatie moyo kwamba wanaweza kupona kwa kutumia asali pure isiyochakachuliwa. Nina ndugu yangu mmoja ana miaka miwili tangu aoe. Alikuwa anasumbuliwa sana na jogoo wake kiasi cha kumfanya akose raha. Katika pitapita yake mwaka jana mwezi wa Disemba alionana na mzee mmoja akamshauri aanze kulamba asali kwa kipimo cha vijiko vya chakula viwili asubuhi, mchana na jioni. Alimwambia atumie asali mbichi yaani isiyochakachuliwa na inayovunwa maeneo ambayo hayalimwi tumbaku. Pia alimwambia aendelee kulamba kwa mwezi mzima mfululizo kwa maana kwamba hata akisafiri lazima ahakikishe amebeba asali.

Ndugu yangu huyo alizingatia ipasavyo masharti hayo na baada ya miezi miwili alimshangaza mkewe. Jogoo alianza kupanda mtungi kwa kasi iliyomshangaza mkewe na kumfanya ahisi amekunywa 'mkuyati'. Ajabu ni kwamba pamoja na kuacha kulamba asali jogoo mpaka sasa bado linaendeleza libeneke kisawasawa na ndoa ime-stabilize. Jamaa anasema amekuwa na kasi utadhani amebarehe jana! Wazee msio-perform mpo?

Mzee inaonekana kama ulikuwa unapiga chabo vileeee.