Sasa ni zamu ya Chad, Mfaransa atakiwa kuondoka haraka nchini humo

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,045
18,014
Ni baada ya Mwanajeshi wa Ufaransa kumuua Raia wa Chad hali iliyopelekea maandamano makubwa hivi sasa hali inayoendelea ni mbaya sana.

Tayari watu wameanza kuingia barabarani na baadhi ya Wabunge wameanza kupaza sauti kuwa kwa sasa wanajeshi wa Ufaransa wanapaswa kuondoka haraka Chad

Kweli nimeamini safari hii mfaransa kashikwa pabaya!!
 
Mwizi yule, na dunia ya magharibi inajifanya inajali haki za binadamu. Lakini ukija wizi wa mchana kweupe unaofanywa na ufaransa katika nchi za Afrika, wamevaa miwani ya mbao na kuweka pamba masikioni.
 
Hivi Ufaransa wakisema kuwa wananchi wenye asili ya Afrika waondoke warudi Makwao patakuaje...sipati picha.
Hawawezi mkuu, black wengi wa Ufaransa wengine ni tegemeo kabisa wako vizuri sana, so hawawezi kuwatimua itakua balaa, eg wacheza kandanda.
 
Ni baada ya Mwanajeshi wa Ufaransa kumuua Raia wa Chad hali iliyopelekea maandamano makubwa hivi sasa hali inayoendelea ni mbaya sana.

Tayari watu wameanza kuingia barabarani na baadhi ya Wabunge wameanza kupaza sauti kuwa kwa sasa wanajeshi wa Ufaransa wanapaswa kuondoka haraka Chad

Kweli nimeamini safari hii mfaransa kashikwa pabaya!!
Na sisi zamu inakuja watakuwa waarabu
 
Hawawezi mkuu, black wengi wa Ufaransa wengine ni tegemeo kabisa wako vizuri sana, so hawawezi kuwatimua itakua balaa, eg wacheza kandanda.
Wakiweza wanaweza kuwafutia uraia, sisi watu weusi tunapenda sana kuwasingizia watu weupe umaskini wetu. Kwao hatuwapendi na kwao tunapapenda.
Mimi ningewaona wa maana kama wangeanza na wale viongozi wanaochukua rushwa kwa hao wazungu.
Unamfukuza mfaransa then anakuja Mchina then?
 
Hivi Ufaransa wakisema kuwa wananchi wenye asili ya Afrika waondoke warudi Makwao patakuaje...sipati picha.
Kwani waafrika wanafukuza raia wa ufaransa walioko Afrika? au wanafukuza serikali ya ufaransa iliyoko kwenye nchi za kiafrika?
Sijui umenielewa?
 
Ni baada ya Mwanajeshi wa Ufaransa kumuua Raia wa Chad hali iliyopelekea maandamano makubwa hivi sasa hali inayoendelea ni mbaya sana.

Tayari watu wameanza kuingia barabarani na baadhi ya Wabunge wameanza kupaza sauti kuwa kwa sasa wanajeshi wa Ufaransa wanapaswa kuondoka haraka Chad

Kweli nimeamini safari hii mfaransa kashikwa pabaya!!
Twende Kazi.. Kituo kifuatacho ni Ngorongoro
27bb59bf5b1c64b3de3872ba2ef98f53.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni baada ya Mwanajeshi wa Ufaransa kumuua Raia wa Chad hali iliyopelekea maandamano makubwa hivi sasa hali inayoendelea ni mbaya sana.

Tayari watu wameanza kuingia barabarani na baadhi ya Wabunge wameanza kupaza sauti kuwa kwa sasa wanajeshi wa Ufaransa wanapaswa kuondoka haraka Chad

Kweli nimeamini safari hii mfaransa kashikwa pabaya!!
Waarabu walikuja Afrika wakateka Afrika Kaskazini yote na maeneo mengine na wapo mpaka leo na wala hawana mpango wa kuondoka. Kama tunataka Afrika yetu basi tungeanza na hawa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom