Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,779
Na bado ataichagua ccmSerikali kupitia TRA wanawapa wafanyabiashara tax demand notes za miaka ya nyuma mno. Nimeona kwa macho yangu mtu "anadaiwa" kodi (na kuongezewa riba na adhabu juu) kuanzia alipofungua kampuni 2006.
Nchi hii inaelekea kubaya zaidi ya Zimbabwe ya Mugabe.
Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza za kisenge bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lkn kuna kundi la wapumbavu huona kama hakuna kifanyikacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao walikwepa kodi wakati huo ndo wanaotufanya tunateseka sasa. Walilkula bata wapendavyo. Sasa warudishe vyetu walivuotudhulumu.Serikali kupitia TRA wanawapa wafanyabiashara tax demand notes za miaka ya nyuma mno. Nimeona kwa macho yangu mtu "anadaiwa" kodi (na kuongezewa riba na adhabu juu) kuanzia alipofungua kampuni 2006.
Nchi hii inaelekea kubaya zaidi ya Zimbabwe ya Mugabe.
Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza za kisenge bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lkn kuna kundi la wapumbavu huona kama hakuna kifanyikacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao walikwepa kodi wakati huo ndo wanaotufanya tunateseka sasa. Walilkula bata wapendavyo. Sasa warudishe vyetu walivuotudhulumu.
Anaekumbuka story ya mobite kisha Buzz kisha Tigo walvyokwepa kodi kwa kudai kampuni inapata hasara hivyo inauzwa kumbe ni ukwepaji kodi tu. Watanzania tumepigwa sana, turudishe walivyotuibia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkulima aliishitaki serikali deni la mwaka gani?Serikali kupitia TRA wanawapa wafanyabiashara tax demand notes za miaka ya nyuma mno. Nimeona kwa macho yangu mtu "anadaiwa" kodi (na kuongezewa riba na adhabu juu) kuanzia alipofungua kampuni 2006.
Nchi hii inaelekea kubaya zaidi ya Zimbabwe ya Mugabe.
Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza za kisenge bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lkn kuna kundi la wapumbavu huona kama hakuna kifanyikacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Busara na adabu ni ustaarabu,acha kutukana wananchi.Kujificha nyuma ya keypad kwa kichaka cha avatar na jina la uwongo visikuongopee.Hivi sheria zinazotokana na hati za dharura hutungwa na Bunge?Jiheshimu hata kwa 2% ayseee,be sensible.Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza za kisenge bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lkn kuna kundi la wapumbavu huona kama hakuna kifanyikacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkulima aliishitaki serikali deni la mwaka gani?
Sasa sisi tutajuaje kama unachoongea ni kweli?
Halafu ndio hayo hayo mapumbavu mabingwa wa kudai public services bure mkuu.Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza za kisenge bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lkn kuna kundi la wapumbavu huona kama hakuna kifanyikacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afunge, kwa niniasilipe kodi ? Unamtishia nani ?Am sorry; but you have written here like an idiot. Mtu ana tax clearance kwa miaka yote hiyo utasemaje kuwa hakuwa analipa kodi? Acheni upumbavu wenu; nchi imeshawashinda.
Simple; nimemshauri mteja afunge kampuni. Mtamfanya nini sasa? Hata provisional tax yake (na huwa analipa minimum ya 15m) hatalipa akifunga biashara.
Mimi naona kinachofanyika. Nacho ni kuua private sector. Mwambieni jiwe kuwa anajipiga mwenyewe risasi miguuni wakati anatakiwa kupanda mlima wenye utelezi.
Tunamuangalia jinsi anavyojiumbua. It is just a matter of time; na siku akigundua hilo it will be too late to do anything for his limited intellect.
HE IS DOOMED.
Serikali kupitia TRA wanawapa wafanyabiashara tax demand notes za miaka ya nyuma mno. Nimeona kwa macho yangu mtu "anadaiwa" kodi (na kuongezewa riba na adhabu juu) kuanzia alipofungua kampuni 2006.
Nchi hii inaelekea kubaya zaidi ya Zimbabwe ya Mugabe.