Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

Umesema hivi.
"Watu wamelia na mkuu wa majeshi amelia"
Hii ina maanisha kuwa kuna watu wamelia,lkn kiumbe mwingine ambaye siyo mtu (mkuu wa majeshi mstaafu naye amelia).
Hiyo ni yako tu.. Mimi nimeshamaliza kufikisja ujumbe. Mkuu wa Majeshi ni cho kikubwa sana.
 
Mkuu naelewa unachokisema lakini kaa ukijua kuna Sheria za privacy za kijeshi...Baba yako hawezi kukwambia kwamba Eti ukweli ulikuwa huu..
Hiyo ni sawa na kesi ya uhaini mkuu
Kwa hiyo hadi idi amini ni muongo maana zipo video anatangaza na kuongea kabisa kuhusu kuvamia kagera alikofanya na kusema anaweza kufagia hadi dar es salaam ...wewe utakuwa ni raia feki kutoka uganda
 
Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.

Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema bwana ya Nyerere lingekuwa limeshaisha na hivyo mgawo wa umeme tungekuwa tunausikia tu.

Treni Dar Dodoma ingekuwa tayari. Upigaji wa hela za umma ungekuwa mdogo sana.

Hadi 2030 tutasikia mengi.

Jana watu walilia, mkuu wa majeshi mstaafu alilia.
Alikufa akiwa madarakani. Acheni kusifia mtu mjinga aliyeshindwa hata kwenda kutibiwa ulaya ati anapigana vita ya kiuchumi? Pumbavu unapigana vita na nani? Matokeo yake buruta peleka MZENA
 
Utakuwa na ujinga wa kipaji, unadhani mtu asipokuwa mkristo basi automatically ni muisilamu! Tafuta takwimu ya kidunia uone wakristo ni wangapi, na waisilamu, kisha uje tuendelee na mjadala. Sio Kila mtu Yuko kifungoni kwenye hizo dini zenu.
Sawa mpagani nimekuelewa
 
Ukiitwa mbele za Mungu utaweza kuthibitisha au unamfanyia mzaha Mungu?
Ina maana wewe boya hukuwa Tamzania wakati wa Dikteta? Mbona hizo zote za akina Kabudi/ Mwanri/ Lugora za kumuita Magufuli mheshimiwa mungu zipo YouTube !!

Una smart phone, una bando ingia utazikuta, wacha upimbi
 
Ina maana wewe boya hukuwa Tamzania wakati wa Dikteta? Mbona hizo zote za akina Kabudi/ Mwanri/ Lugora za kumuita Magufuli mheshimiwa mungu zipo YouTube !!

Una smart phone, una bando ingia utazikuta, wacha upimbi
Wewe si ndio ulisema Rais Samia alitangaza kifo cha Magufuli kuwa ni corona ila nilipotaka ushahidi ukaleta utoto? Haya nipe link nitizame hizo video maana naona wewe ndio haupo Tanzania ndio maana unaongea ambavyo havipo.
 
Alikufa akiwa madarakani. Acheni kusifia mtu mjinga aliyeshindwa hata kwenda kutibiwa ulaya ati anapigana vita ya kiuchumi? Pumbavu unapigana vita na nani? Matokeo yake buruta peleka MZENA
So what, Nyerere alienda ulaya, akarudi kwenye jeneza
 
Outside country? Bora serikali izifute shule za kata
Treasury bills ni za central bank tu. China haiwezi kuuza Treasury bills kwa outside country. Lengo la Treasury bills ni kukocontrol inflation. Marekani kupitia federal reserve haiwezi kuuza Treasury bills kwa outside country
 
Hayo ni mabadiliko ya kawaida ya tekinologia unadhani hata asingeruhusu Tanzania ingekuwa vile vile?????

Mtoto tu anazaliwa hajui chochote anaanza kutambaa na badae anatembea

Acheni sifa za kijinga
We ndo mjinga kabisa.
Kama ya kawaida nini kilimshinda Nyerere kwa zaidi ya miongo miwili?
 
Acha kumlinganisha Nyerere na vitu vya kipumbavu.
Kwenye record,jina la magufuli ndilo jina linaloandikwa sana kwenye mitandao ya kijaminii,pili,hotuba za jpm ndizo hotuba zinazotizamwa na kusikilizwa sana kuliko hotuba za kiongozi mwingine Tanzania na afrika nzima.
Ila kwa watu vipofu na viwete wa fikra kama wewe,ni vigumu sana kuuonabikweli.
 
Back
Top Bottom