Sasa ni Professor Wilbrod Slaa

Sasa ni Professor Wilbrod Slaa

Baada ya kukusanya hotuba zake zenye mashiko zipatazo 3,520, ninayo kila sababu ya kumuita huyu future president wetu Professor. Lengo ni kutofautisha mchango wako na ule wanasiasa wengine wanaoitwa Dr. (ama kwa kupewa ama kwa kusoma ki halali ama kwa kuchakachuwa). Upo mbali saaaana professor.

Basi kwa mamlaka niliyopewa na walalahoi wenzangu tunaopata mlo mmoja kwa siku na kutibiwa kwa mitishamba natamka rasmi ya kuwa wewe ni PROFESSOR!

hiyo haina ubishi , tuambie zinapatikana wapi
 
We uliyeandika hapo juu ni **** ungesema SLAA ni pro. wa kuchukua wanawake za watu ningekuona wa maana, utaendelea kuwa maskini kwa kushabikia wanasiasa wa inchi hii
Baada ya kukuchukua juzi umeamua kumpa uprof........
 
We uliyeandika hapo juu ni **** ungesema SLAA ni pro. wa kuchukua wanawake za watu ningekuona wa maana, utaendelea kuwa maskini kwa kushabikia wanasiasa wa inchi hii

Dah!! lakini yanatoka wapi hayo, Je demu uliyekuanaye mara ya mwisho juz kati hivi alikuwa wako kweli wewe!!! Kijana kamkubali wacha ampe sifa zake Dr Slaa!
 
We uliyeandika hapo juu ni **** ungesema SLAA ni pro. wa kuchukua wanawake za watu ningekuona wa maana, utaendelea kuwa maskini kwa kushabikia wanasiasa wa inchi hii

Wewe mwenyewe unaakili mgando.Lazima ukubali, ukweli ndio huo, Dr. Slaa anastahili,acha chuki binasi
 
Baada ya kukusanya hotuba zake zenye mashiko zipatazo 3,520, ninayo kila sababu ya kumuita huyu future president wetu Professor. Lengo ni kutofautisha mchango wako na ule wanasiasa wengine wanaoitwa Dr. (ama kwa kupewa ama kwa kusoma ki halali ama kwa kuchakachuwa). Upo mbali saaaana professor.

Basi kwa mamlaka niliyopewa na walalahoi wenzangu tunaopata mlo mmoja kwa siku na kutibiwa kwa mitishamba natamka rasmi ya kuwa wewe ni PROFESSOR!

Una akili sana Aise. Unajua kuna watu wanapewa sijui kitu wanaitwa Donorary Doctorate yaani hata kitu hawana kichwani halafu wanatumia hicho cheo. Dr. Slaa anastahili apate Honorary Professor kabisa. Kichwa kimejaa akili na utashi na uchungu. Heshima wakuu. Et Dr so and so, again Dr. so and so, why? Bora hata Mangi Mengi anatarajia kupata tuzo na alishapata nyingi kwa ajili ya huduma za jamii, he deserves!
 
1000%:second: viva M4C , viva slaa😛eace:
 
We uliyeandika hapo juu ni **** ungesema SLAA ni pro. wa kuchukua wanawake za watu ningekuona wa maana, utaendelea kuwa maskini kwa kushabikia wanasiasa wa inchi hii

Wewe ndo mbumbu kama kuchukuwa au kulala na wanawake au waume za watu au wanaume unapata uprofessor basi wazinzi wote wangekuwa maprofessor.

Whisper atakuwa amechanganua mambo mengi ya msingi yenyemantiki kwa w. slaa na kwa hali ya kawaida si rahisi kwa kila mtu kuwanayo. Baba yako wa magogoni anaitwa dr alichukulia wapi hiyo phd?

Fanya upembuzi yakinifu kabla hujafanya ushabiki.
 
Prof. SLAA juu ulipo ni zaidi ya obama wewe sio rais wa 2015 ni rais wangu wa sasa aluta kontinua Wilbrod
 
Kweli huyo anafaa kuwa professor wa kushughulikia wake za watu. Josephine?
 
hata mi nakubali kuanzia leo ni protester w p slaa
 
Nakubaliana na mtoa mada, nadhani ni namna ya kutaka kumtofautisha Dr. Slaa kwa michango yake kama alivyosema. Ila kwangu mimi napenda abaki kuwa Dr. Slaa tu, labda kama kutakuwa na title nyingine, kwani tukimuita Profesa, watu wasije wakadhani ni sawa na yule Profesa maji marefu au profesa Mkullo namambo hayaendi.
 
dr whisper.
big up mkuu, prof slaa ni mpambanaji namba moja tunae mtegemea sana ktk harakati zetu za kuwangoa mafisadi ktk tz yetu.
 
Kizuri hujiuza!
Slaa yuko serious na issue za msingi za nchi yetu!
Personally nimgembatiza kama His Emminence
 
Kweli huyo anafaa kuwa professor wa kushughulikia wake za watu. Josephine?

wewe na kiroho chafu,siku si nyingi utawehuka,unatumia nguvu kuuuubwa kupambana na hoja ndoôogo zenye kweli nzito ndani yake.hamia M4C utakuwa na meeengi ya kujivunia na kuyasema kifua mbele kuliko unavyojitesa kutetea hao magamba,utapata stroke bure wakati si wako,ONA WENZIO TUNASONGA MBELE KIROHO SAFIIÎ
 
Asante kwa mamlaka uliyo nanyo ......we ni wa ukweli
wewe ulieandika hii thread nami kwa mamlaka nilioyopewa na wanakijiji wa kijiji cha butumba natangaza rasmi kwamba tumekutuku u DAKTARI wa Utafiti kuanzia leo utaitwa Dr. Whisper
 
Back
Top Bottom