Sasa ni mpaka wanayama

HII HABARI IMETOKEA KENYA,SIMBA KAMLAWITI MWENZIE,TUNAKOELEKEA ANAJUA MAULANA.
 
Wallah..kama Mungu hatokiangamiza hiki kzazi....atawaomba msamaha sodoma na gomora!!!!
 
HII HABARI IMETOKEA KENYA,SIMBA KAMLAWITI MWENZIE,TUNAKOELEKEA ANAJUA MAULANA.

Hao Simba mmoja ni jike na mwingine ni Dume, huyo jike amekuwa na kuvumuka manyoya kama Dume,
Ni kama mwanaume uwe na mke kama huyu hapo chini, maana itasemwa pia unamlawiti mwanaume mwenzio

Wafugaji wa mifuga kama ng'ombe, kondoo na mbuzi tunayajua vizuri haya mambo. Hata Njiwa wana hii tabia. Mara nyingine wanyama wa kiume wadogo (kwa umbo na umri) au wanyonge katika kundi hupenda kupandana kama vile wanawapanda majike. Wafugaji wanalijua hii wala si kitu cha ajabu.
 
Hii habari inakuzwa na wazungu na mashoga kuhalalisha ufirauni wao.
Hata ng'ombe dume wa rika moja wakati mwingiñe huwa wanapandiana lakini sio kwa kufanya sex.
Hii kwa wanyama hutokea mara nyingi sana.
 
Mmh wanyama wanapigana kwenye ashakum kishenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…