Sadlady
Member
- Apr 8, 2014
- 21
- 10
.........A......
mabingwa wa MMU
Wababa wamama na wadogo zangu msishangae naingia na ID mpya kwa sababu ya unyeti wa jambo lenyewe please mnielewe. niko njia panda na kama nisipopata mwelekeo sijui itakuwavipi.. labda nielezee kisa kizima ntajitahidi kufichaficha baadhi ya vitu kama kawaida yetu.. cha ajabu mtu anaweza kuccoment "weka picha...!"
baada ya kumaliza darasa la saba nilitimka kijijini nikaja mkoa flan, katika harakati za kutafuta kazi yoyote nikajibanza kwa mama mmoja ambaye ni ndugu wa mbali na wazazi wangu. hapo tulikuwa wasichana kama watatu. mdogo wake, mimi na msichana mwingine aliye kaa nae kama Housemaid. hayakuwa maisha ya kawaida, tulipelekeshwa kama mbuzi saa kumi na moja mko on na shughuli nyingine ni balaa hadi usiku. lakini Yule Mume wake akatulazimisha wote watatu kwenda shule sekondary. hakujali chochote. tulisoma kwa taabu lakini iaka minne sio mingi tukamaliza tukiibuka na ufaulu mbaya kabisa sisemi. Mumewe alikuwa na duka kubwa la spea, baada ya kitu kama miezi mitatu wakafungua tawi la Duka maeneo mengine hapo hapo mkoa. na hapo ndipo nili[popata promotion ya kuwekwa kama muuzaji. ni promotion kwa sababu ilinitenga na matusi, mateso na karaha za yule mama kutwa kucha.
kwa hakika kazi niliifanya kwa bidii sana nikizingatia kazi ikifa narudia msoto wa nyumbani. na duka lilipata mafanikio kila siku. kwa muda wa Mwaka mmoja duka lilijaa sana na kunawiri kuliko hata lile lao ambalo by that time lilionekana liko mjini centre. sikufaham kwamba kunawiri kwa Duka kulienda sambamba na kunawiry my-body. kila nikipita kwa kweli mimtu iligeukageuka sana. mtu wez jua bana mambo haya. unajua tena mtu ukishajijua kwamba kuna viumbe unawasumbua basi ndo unaongezea manjonjo.. manjonjo na kachumbari ziliniletea balaa jingine Home. nikasikia minong'ono kwamba mama wa Nyumba anarap natembea na mume wake. Niliidharau nikachapa zangu kazi lakini siku zilivyosonga balaa na balaa zikazidi kuibuka. mwanamke akimlazimisha mume wake anitoe dukani haraka mume akatia ngumu. ugomvi kila siku. Kwa upande wa pili hata wale wasichana wenzangu home walinufaika sana na kazi yangu maana uongo mia mbili tatu hawakuzikosa. hiki nacho kilimchanganya mama mwenye nyumba sijui alitaka tuishi kama kuku au nini.
........B..............
siku Moja jioni tukifunga mahesabu nikiwa na baba (maana ilikuwa ni kawaida yake akitoka mjini hupitia hapo kuchukua mauzo ya siku) walivamia vijana kama kumi wakiwa na marungu, mapanga na kututeka, wakamjeruhi baba kwa mapanga na kukwiba mauzo ya siku ile yale yangu pamoja na yale ya mjini wakaodoka. mie niliogopa sana nilikuwa kama mfu vile, nilinaswa vibao kadhaa lakini sikujeruhiwa kama baba. watu walijaa wakamchukua baba hospitalini nikafunga duka nami kwenda hospitalini. mama alifahamishwa naye akaja speed na mapolisi hospitalini na kuanza kuniporomoshea matusi kwamba nimechora mpango wote wa ujambazi. mapolisi wakanibeba hadi kwenye karandinga huyoo kituoni. iliniuma sana. baada ya kuandika maelezo nikatupwa selo.
kesho yake nikamwona mama yule anaingia kituoni na kutoka. maadae nikaitwa na mkuu wa kitengo cha uchunguzi. akaniuliza maswalimaswali mengi kuhusu mimi binafsi na biashara. akiwa anaandika andika. Nilimwona from that point mimatemate ya uchu ikimtoka. kila akiongea anainua kalamu yake na kugonga chuchu zangu ambazo wakati huo zilikuwa zimesimama kama embe bolibo lililo ivia mtini.sema tu mtu hujioni nilifungashia. akaropoka, "Wewe bint mzuri kwanini unatembea na baba mwenye nyumba wako?" nilishangaa sana kwa swali lile nikajua ni yule mama tu kaja kuweka sumu zake. nikajitetea from point z kwamba mie sitembei nae. hakuniamini kabisa, akaniambia ataniachia leo, lakini kesho niwahi hapo kituoni mapema sana. nilifurahi sana, nikapewa vitu vyangu huyoo hom. kufika hom nikamkuta mama mbogo, akanitupia begi nje na kunitimua hataki kukaa na majambazi.
nikaenda kwa majirani wakanisetiri nikaoga na kupumzika, kesho yake nikawahi kituoni. yule mkuu akaniambia kwa ukubwa wa kesi yangu naweza kufungwa miaka mingi ni vema niongee naye kwa undani zaidi. sikujua maana ya neno lile kuongea kwa undani nikajibu tu niko tayari kuongea kwa undani wote nijuavyo ,mana sihusiki kwa lolote. akaniambia twende mahali tukaongee, akaniambia niondoke tukutane mahali flani. kweli muda wa mchani tukakutana mahali kwenye faragha na chakula kikaja tukala. nikawa nasubiri mazungumzo hayo ya undani zaidi yaanze. baadae mhudumu mmoja akaja akamwambia 'mkuu tayari" sikujua tayari nini nikaamini labda tayari tuanze kuzungumza. akaniambia tuondoke hapo tukaongelee kwa ndani. tukatoka hapo haoo he.. naona tunaingia chumbani, mlangu ukafungwa, mmmm! nikajiuliza maongezi gani haya. akanivuta mkono hadi kitandani tukakaa. nikamwambia tuanze hayo mazungumzo basi. huyo akatoa bastola mfukoni.."maisha yangu yote sijawahi ona bunduki, ndo mara yangu ya kwanza kuoona kitu hiyo. nikamuuliza hiyo ni nini akajibu bastola, nikaogopa sana naskiaga tu pa! pa! mtu kafa ukiuliza kapigwa bastola kumbe iko hivyo. nikatetemeka sana mwili wote. nikamuuliza ya nini sasa, akasema hiyo ni yake tu ya kutembelea nisiwe na wasiwasi..
..................INAENDELEA HAPA..................