Hii ya wenyewe farkhina ingekuwa yangu ungeona seafoods mwanzo mwisho
Fish sijamuona apo
wataka kitoga, chewa, kibua, perege au sato?
Ungekuwa bongo nisingeenda job leo
Changu tasi kibua
tena hao wawe wa kuchoma..
Quii quiii quiiii ila HARUFU ya prawns wakikalangizwa ingesema yote