Sasa ni lunchtime



Mkuu umenifanya minyoo kuunguruma tumboni, hari imekuwa tete utulivu umepotea, umenitia hamu hivi fasta kutafuta hii kitu.
 
Huku kutamanisha mkuu,mate yananidondoka balaaa
 


Mkuu umenifanya minyoo kuunguruma tumboni, hari imekuwa tete utulivu umepotea, umenitia hamu hivi fasta kutafuta hii kitu.

Huo msosi unapatikana wapi?
Unaonekana mtamuuuu
Alafu wanajua kutengeneza.
 
Huo msosi unapatikana wapi?
Unaonekana mtamuuuu
Alafu wanajua kutengeneza.

Mkuu hata mimi sifaham, hivi sasa niko kanda za nyanda za juu kusini, maparachichi/matakapera (avocado) na ndizi sio tatizo

Huyu mkuu amenitia hamu sana nitavisakanya mpaka nivipate,
 
duuuh! naka castle lite pembeni mambo ya mpwa Pdidy hayo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…