Sasa ni kulala

Status
Not open for further replies.
Saa 5 ikifika nistue.
Sijacheza kigoma cha Uruguwai siku nyingi.

Ntakustua goma likianza tyuuuu..........ila naomba uje na maji ya kilinjaro katon saba na half keki maana leo wahusika inabidi tushibee
 
Ntakustua goma likianza tyuuuu..........ila naomba uje na maji ya kilinjaro katon saba na half keki maana leo wahusika inabidi tushibee

Si unanijua mie nilivyo pambe!!!
Naja na machela kabisa.
 
Nitaupitia huo uzi nikitoka Parokiani.
lara 1 acha maneno yako ya shombo na ya Kiswahili la sivyo siku ya leo nitai-Dedicate kwako.
Haahahaaaaaaa! Nimecheka tu kwa masikitiko! Sumu umenisahahu kama mimi na wewe tuna historia eeeeeeeehhhhhh? Raha ya. Vita teknolojia, raha ya mboga chumvi, na raha ya mchambo mitusiiii ya kuwaacha watu kinywa wazi na kumnyongonyeza adui yako! We unafikiri nyani mzee yule kakwepa mishale mingi mwepesi kumsuta hivi hivii? Ashasutwa sanaaa ila sugu zaidi ya Mr. 2!
 
Bora umenisaidia mpenzi maana kwa nijuavyo sifa ya mwanamke kubwa ni mimba na ndio maana na lenyewe likazaliwaa

Yaani.....ni ajabu kuona mtu jasho linakutoka kusambaza umbea eti mwanamke ana mimba....nao walionunua gazeti walitaka tu kumpa umaarufu...mbona udaku wenyewe hata hauuziki?
 

Hahahahah eti sugu zaidi ya mr.2 lol
 
Hahaaaaa na hisi kile kipimio cha buku na jero kinapatikana duka la dawa....... jaman icho kipimio kibokoo kimeweza kumpima mimba mtu kwa pm

Hahaaaa kijanamtanashati nae anasema we sio mtu mzuri ataweka mambo hadharani sijui hiyo saa 5 ndio atafunguka
Mtu mzima alikua serious huyo kwamba anaijui isuue in and out huoni alivyokua akikumention
 
Last edited by a moderator:
WANA MLINDA MUHUSIKAAA! Ndo mjiulize huyo MM kwanini alindwe kiasi hiko! KESHO SAA 5 ASUBUHI NDO FAINALI YAKE! Msikoseee! SAA 5 ASUBUHI! Nina ID mpyaaaa kwa kazi hio moja tuuu!

Aiseeee!!!!

Ngoja na mimi nifungue ID mpya kwa ajili ya kusoma tu hayo makitu...:becky:
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…