Noooo! NINA SILAHA ZA KIVITA TOKA KWA BI PAZI CHOTARA WA KIMAKONDE NA KIZARAMO! YAANI SILAHA ZA KINUCLEAR NEVER SEEN BEFORE! Atajutraaaaaa kunifahamu!
Afu mnaojifanya baba ushauri kesho msitie miguu kwenue ule uzi maana nannyie nitawafanya vibayaaaa mpaka mtashangaaa! UMBEA TUUU, MNACHOSHAURI NINI WAKATI KILA UJINGA UKIWEKWA MNASOMAAA NA KU COMMENT? Mngekuwa na maana si mngepotezea? Yaani kesho mkae mbali!
ACHENI TUJICHORESHE KINACHO WAWASHA NINI, WAKANYENI WAKE ZENU TANGIA LINI TUKAWAHUSU! Yaani kesho mtu alete fyoko fyoko mmmmmmmh!
kujitetea imo hata kama ni kweli
Weees nawee usilojua sawa na usiku wa giza
Ukanikaushia bibie,
Na mimi na yangu sijui bado nakumbukwa....n
Tena wakileta ushauri uwatoe ndukiiiiii wabebe viatu mkononi,wasituharibie utamu watu tumelipia siti za mbele tunataka muvi iishe tuanze mpyaaaaaaaaaaNoooo! NINA SILAHA ZA KIVITA TOKA KWA BI PAZI CHOTARA WA KIMAKONDE NA KIZARAMO! YAANI SILAHA ZA KINUCLEAR NEVER SEEN BEFORE! Atajutraaaaaa kunifahamu!
Afu mnaojifanya baba ushauri kesho msitie miguu kwenue ule uzi maana nannyie nitawafanya vibayaaaa mpaka mtashangaaa! UMBEA TUUU, MNACHOSHAURI NINI WAKATI KILA UJINGA UKIWEKWA MNASOMAAA NA KU COMMENT? Mngekuwa na maana si mngepotezea? Yaani kesho mkae mbali!
ACHENI TUJICHORESHE KINACHO WAWASHA NINI, WAKANYENI WAKE ZENU TANGIA LINI TUKAWAHUSU! Yaani kesho mtu alete fyoko fyoko mmmmmmmh!
WANA MLINDA MUHUSIKAAA! Ndo mjiulize huyo MM kwanini alindwe kiasi hiko! KESHO SAA 5 ASUBUHI NDO FAINALI YAKE! Msikoseee! Tunampelekea mashujaaa band, mkodobwe, vangaa, kigoma cha urugwa, na keki ya msutoooo! Kamanda wangu Bi Pazi atakuwepo kunipa makonzi yalio enda shulee nishamnunulia ugoroooo wa kutoshaaa! SAA 5 ASUBUHI! Nina ID mpyaaaa kwa kazi hio moja tuuu!
nategesha alarm chezea kuvaa madila mjini😛eep:😛eep:Kesho saa 5 asubuhi shosti, hakikisha sipitwi!
Afadhali wameufunga maana nahisi ningekesha
ukiwahi uniite best,nakuja na ubuyu mweupe mtamuuuuu kuliko mwekundu loh wazenji wana lao jambo.
ufanye kweli best,kesho paka wote lazima wafungwe kengere.😛eep:Usjar na mm ni mmoja wakulianzisha ntakuita
WANA MLINDA MUHUSIKAAA! Ndo mjiulize huyo MM kwanini alindwe kiasi hiko! KESHO SAA 5 ASUBUHI NDO FAINALI YAKE! Msikoseee! Tunampelekea mashujaaa band, mkodobwe, vangaa, kigoma cha urugwa, na keki ya msutoooo! Kamanda wangu Bi Pazi atakuwepo kunipa makonzi yalio enda shulee nishamnunulia ugoroooo wa kutoshaaa! SAA 5 ASUBUHI! Nina ID mpyaaaa kwa kazi hio moja tuuu!
hahahaha tuprint t-shirt kabisa na mabango yenye ujumbe mzito,ili kesho saa tano asubuhi mods wasithubutu kufunga uzi wa kubwa la maadui.Siamini kulala kidogo nikapitwa,????
Mods bring back our thread
hahahaha tuprint t-shirt kabisa na mabango yenye ujumbe mzito,ili kesho saa tano asubuhi mods wasithubutu kufunga uzi wa kubwa la maadui.