Sasa ni dhahiri !

Sasa ni dhahiri !

Bado ni mawaziri kwa kuwa hakuna taarifa ya kuvunjwa kwa Baraza la Mawaziri.
 
WANABODI WOTE KIMENUKA
Imetoka oder kutoka mamlaka juu kuwa mawazir na manaibu wote waondoe plate number za mawaziri na manaibu mawaziri kwenye magari na waweke zile za STK na hakuna kupeperusha Bendera ya Taifa kwenye Magari.
Hapa Nipo jimboni Mwanga Maghembe ameanza kutumia gari yake Prado T 206 AZY. Gari la wizara naona limepaki Mwanga Motel anapolala Dereva. Yeye kaenda Usangi na Prado lake na Dereva wa Mkewe

Chanzo: mimi Mwenyewe na Dereva wa serikali anayemuendesha Maghembe

Nafikiri jambo BORA kuliko kitu kingine kwasasa ni KUSIKIA kuwa MAWAZIRI na WATENDAJI wezi wameondolewa ktk nafasi zao na sio kuamrisha kuwa "PLATE NUMBER" za magari za W/NW zitolewe na kubandikwa STK.....hii bado haijaleta athari ya mabadiliko tunayotaka.

JK hayupo serious na maisha ya taifa letu,ajaribu kufanya kitu cha maana na wala sio matamko.
 
Sijaelewa kutoa hizo namba W/NW na kuweka STK inamaanisha nini? Ina maana si mawaziri tena au namna gani?

Ndio maana yake! tatizo leo Jumamosi na kesho InshaALLAh jumapili, tusubiri J3. sijui WATAJIBEBAJE ! maana walishazoea starehe! kupita mpaka sie kina KAyumba tusimamishwe masaa manne anasubiriwa mtu yupo msalani hata hajaoga! loh!
 
wewe mafilili unadandia tu hoja, natmai uko kwa ajili ya kuwafarija na kuwafurahisha magamba na mafisadi wenzako
 
Safi sana AMRI ya JK ni kama moto wa jangwa husambaa haraka na husafisha eno vizuri

Samahani; hivi hizo amri zinazofanana na moto umesema zinatolewa na nani vile? Maana kama ni huyu nionaye umemwandika hapo, basi utakuwa na matatizo katika kichwa chako (ashaikhum si matusi)
 
Chanzo: mimi Mwenyewe na Dereva wa serikali anayemuendesha Maghembe

MTENGETI,
Ulipokosea ni hapo ulipomtaja huyo Dereva kwamba ndiye chanzo cha habari kwa sababu utamsababishia apigwe Ban na mabosi zake. Hujamtendea haki kwa sababu yeye nae ni kati ya Watumishi wanaotumikishwa na kulipa pesa ndogo sana na watawala. Anaendesha gari la zaidi ya milioni mia mbili, anamuendesha Waziri hadi saa tisa za usiku waziri akiwa disko then anaruhusiwa kwenda kulala na kuambiwa arudi saa kumi na mbili ampeleke ofisini.
 
uharo mtupu...
Tunachotaka wazalendo ni sheria ifuate mkondo wake na waliogundulika kuhujumu uchumi basi wachukuliwe sheria kali.
Hayo mambo ya kutoa plate # ndio sawa na ule upumbavu wa kujivua Gamba.
 
WANABODI WOTE KIMENUKA
Imetoka oder kutoka mamlaka juu kuwa mawazir na manaibu wote waondoe plate number za mawaziri na manaibu mawaziri kwenye magari na waweke zile za STK na hakuna kupeperusha Bendera ya Taifa kwenye Magari.
Hapa Nipo jimboni Mwanga Maghembe ameanza kutumia gari yake Prado T 206 AZY. Gari la wizara naona limepaki Mwanga Motel anapolala Dereva. Yeye kaenda Usangi na Prado lake na Dereva wa Mkewe

Chanzo: mimi Mwenyewe na Dereva wa serikali anayemuendesha Maghembe

Naamini hii taarifa haijaletwa na dereva wa waziri.....Mbona tunataka kuharibia watu kazi zao ...waana familia zinawategemea...sio vizuri!!!!...pia ni lazzima tuheshimu source ya taarifa ....mtoa hoja naomba urekebishe hili....huyu dereva akifukuzwa kazi...machozi ya jamaa yake yawe juu yako!!....ikumbukwe madereva wapo kwenye kundi la wanyonge ambao daiama forum hii imekuwa mtetezi wao...
Na matunda yanaendelea kuonekaana!
 
Hakuna jipya hapo, wachukuliwe hatua za kisheria ndio tutaelewa kuwa wana nia ya dhati kuwashughulikia mafisadi.
 
WANABODI WOTE KIMENUKA
Imetoka oder kutoka mamlaka juu kuwa mawazir na manaibu wote waondoe plate number za mawaziri na manaibu mawaziri kwenye magari na waweke zile za STK na hakuna kupeperusha Bendera ya Taifa kwenye Magari.
Hapa Nipo jimboni Mwanga Maghembe ameanza kutumia gari yake Prado T 206 AZY. Gari la wizara naona limepaki Mwanga Motel anapolala Dereva. Yeye kaenda Usangi na Prado lake na Dereva wa Mkewe

Chanzo: mimi Mwenyewe na Dereva wa serikali anayemuendesha Maghembe
it has been there tangu kitambo labda hukuwahi kuona,si agizo kama ulivyosema
 
Back
Top Bottom