Watawazidi Mataga na UVCCM?Watanzania ni mabingwa wa kusifia!
Lema na Lisu mtarudi lini Tanzania?View attachment 1775950
Ukiachilia mbali kwamba Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA , Chama cha siasa kilichoshambuliwa zaidi barani Africa kikifuatiwa na ANC ya Africa Kusini enzi za makaburu , Lakini pia duru za kisiasa za dunia zinamtaja Mbowe kama Mwenyekiti bora wa chama cha siasa kuwahi kuwepo barani Africa tangu kuumbwa kwa Mbingu na Ardhi.
Idadi ya vijana aliowafundisha siasa hakuna ukurasa wa hapa JF unaweza kutosha kuwaandika , wapo waliompongeza na kumheshimu , lakini wapo waliomtukana na kumdhalilisha bila kujali alikowaokota na kuwapa heshima mbele ya jamii , hata hivyo hajawahi kulipa kisasi , Mtu huyu si wa kawaida .
View attachment 1775790
Kuna MATAGA na MACHAGA.Watanzania ni mabingwa wa kusifia!
Wewe unaweza kuwa umekufa ila hujijui tu .Lema na Lisu mtarudi lini Tanzania?
Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake.
Sasa hivi mwendazake hayupo je ni lini mtaacha kuishi kwa kulelewa na wazungu Ulaya mrudi Tanzania kujenga nchi na kula kwa jasho lenu? Tunahoji haya kwa sababu tunaona mko kimyaaa.
Mkiendelea kukaa kimya watu watajua mlikimbia nchi kwa masilahi yenu na siyo kwa kutishiwa maisha na mwendazake. Kwanza wewe Lema ulilipa lile deni lako la million 400 lililosomwa na spika Ndugai bungeni?
Rudi ulipe madeni ya watu.
Na wewe mzee wa MIGA Lisu rudi hutawakuta Acacia uliokuwa unawatetea sana utakuta kampuni mpya ya madini inayoitwa TWIGA
unamaanisha mafanikio ya kununuliwa siyo ?Yap,ukiona mwalimu wako anakuchelewesha unamuacha unaenda kwa mwalimu wakukupa mafanikio.
Kwa Magu hakuna ubishi, kichaatu ndio hawezikumuelewa nishujaa mwenye kujiamini na asietikisika. Alikuwa na sifastahiki za kuwakiongozi.Jiwe... Shujaa wa Africa.... Chuma.... Mtu na nusu.... Baba mdogo wa taifa!
Watanzania bhana!
Naanza kuamini Erythrocyte ndiye Mbowe ingawa nashindwa kuhakiki elimu yake imewezaje kumfanya aelewe maana ya neno Erythrocyte.Ukiachilia mbali kwamba Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA , Chama cha siasa kilichoshambuliwa zaidi barani Africa kikifuatiwa na ANC ya Africa Kusini enzi za makaburu , Lakini pia duru za kisiasa za dunia zinamtaja Mbowe kama Mwenyekiti bora wa chama cha siasa kuwahi kuwepo barani Africa tangu kuumbwa kwa Mbingu na Ardhi.
Idadi ya vijana aliowafundisha siasa hakuna ukurasa wa hapa JF unaweza kutosha kuwaandika , wapo waliompongeza na kumheshimu , lakini wapo waliomtukana na kumdhalilisha bila kujali alikowaokota na kuwapa heshima mbele ya jamii , hata hivyo hajawahi kulipa kisasi , Mtu huyu si wa kawaida .
Ndugu yangu,Imagine uko kwenye nchi wabunge(wawakilishi wa wananchi) hawana maswali kabisa kwa serikali
Hivi hapo nyuma ya kikwete si kama namuona hayati JIWEPM
Masahihisho : Sijaifananisha CHADEMA na ANC , nimesema Chadema ni zaidi ya ANC .Naanza kuamini Erythrocyte ndiye Mbowe ingawa nashindwa kuhakiki elimu yake imewezaje kumfanya aelewe maana ya neno Erythrocyte.
Hivi kweli hata kama elimu ni ndogo, unaweza linganisha CHADEMA na ANC? Yaonekana huifahamu Afrika na siasa zake, ingawa naona ni kama uzembe tu maana TZ tumeelimishwa sana juu ya siasa za kusini mwa Afrika; anzia Msumbiji hadi kusini.
Mbowe anajua hawezi kuwa rais, lakini anajua akipata wabunge, ruzuku zinaongezeka. Ni Mkiti wa ruzuku.
Duh, kweli binadamu tunaona na kuwaza tofauti sana! Aisee!Kwa Magu hakuna ubishi, kichaatu ndio hawezikumuelewa nishujaa mwenye kujiamini na asietikisika. Alikuwa na sifastahiki za kuwakiongozi.
Wanao mkejeli wanajitoa akili tu.
Mafanikio ni kupewa mke na Ndugai kisiasa kafa kabisa hata udiwani ccm wenzake walimkataaYap,ukiona mwalimu wako anakuchelewesha unamuacha unaenda kwa mwalimu wakukupa mafanikio.
Ndio ivyo.Duh, kweli binadamu tunaona na kuwaza tofauti sana!
😀 😀 Wanakumulika mchana, usiku wanakuchoma. Kazi ziendelee.Watanzania ni mabingwa wa kusifia!
Sawa mjumbe wa saccos ya ufipa. Wewe ulipata chumba, nyalandu alisema alipofika mlimkaribisha na kumwacha sebuleni maana kwenye vyumba kuna wenyewe 😀😀😀
Ukiachilia mbali kwamba Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA , Chama cha siasa kilichoshambuliwa zaidi barani Africa kikifuatiwa na ANC ya Africa Kusini enzi za makaburu , Lakini pia duru za kisiasa za dunia zinamtaja Mbowe kama Mwenyekiti bora wa chama cha siasa kuwahi kuwepo barani Africa tangu kuumbwa kwa Mbingu na Ardhi.
Idadi ya vijana aliowafundisha siasa hakuna ukurasa wa hapa JF unaweza kutosha kuwaandika , wapo waliompongeza na kumheshimu , lakini wapo waliomtukana na kumdhalilisha bila kujali alikowaokota na kuwapa heshima mbele ya jamii , hata hivyo hajawahi kulipa kisasi , Mtu huyu si wa kawaida .
Haa haa ... maisha yanakwenda kasi sana namuona Mama Samia nyuma ya Hitler MUHUTU alietutesa watanganyika.