Sasa ni Dhahiri Mbowe ni Mwalimu wa siasa Tanzania

1620344404703.jpeg
 
View attachment 1775950

Ukiachilia mbali kwamba Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA , Chama cha siasa kilichoshambuliwa zaidi barani Africa kikifuatiwa na ANC ya Africa Kusini enzi za makaburu , Lakini pia duru za kisiasa za dunia zinamtaja Mbowe kama Mwenyekiti bora wa chama cha siasa kuwahi kuwepo barani Africa tangu kuumbwa kwa Mbingu na Ardhi.

Idadi ya vijana aliowafundisha siasa hakuna ukurasa wa hapa JF unaweza kutosha kuwaandika , wapo waliompongeza na kumheshimu , lakini wapo waliomtukana na kumdhalilisha bila kujali alikowaokota na kuwapa heshima mbele ya jamii , hata hivyo hajawahi kulipa kisasi , Mtu huyu si wa kawaida .

View attachment 1775790
Lema na Lisu mtarudi lini Tanzania?

Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake.

Sasa hivi mwendazake hayupo je ni lini mtaacha kuishi kwa kulelewa na wazungu Ulaya mrudi Tanzania kujenga nchi na kula kwa jasho lenu? Tunahoji haya kwa sababu tunaona mko kimyaaa.

Mkiendelea kukaa kimya watu watajua mlikimbia nchi kwa masilahi yenu na siyo kwa kutishiwa maisha na mwendazake. Kwanza wewe Lema ulilipa lile deni lako la million 400 lililosomwa na spika Ndugai bungeni?
Rudi ulipe madeni ya watu.
Na wewe mzee wa MIGA Lisu rudi hutawakuta Acacia uliokuwa unawatetea sana utakuta kampuni mpya ya madini inayoitwa TWIGA
 
Wewe unaweza kuwa umekufa ila hujijui tu .
 
Jiwe... Shujaa wa Africa.... Chuma.... Mtu na nusu.... Baba mdogo wa taifa!

Watanzania bhana!
Kwa Magu hakuna ubishi, kichaatu ndio hawezikumuelewa nishujaa mwenye kujiamini na asietikisika. Alikuwa na sifastahiki za kuwakiongozi.

Wanao mkejeli wanajitoa akili tu.
 
Ukiachilia mbali kwamba Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA , Chama cha siasa kilichoshambuliwa zaidi barani Africa kikifuatiwa na ANC ya Africa Kusini enzi za makaburu , Lakini pia duru za kisiasa za dunia zinamtaja Mbowe kama Mwenyekiti bora wa chama cha siasa kuwahi kuwepo barani Africa tangu kuumbwa kwa Mbingu na Ardhi.​

Idadi ya vijana aliowafundisha siasa hakuna ukurasa wa hapa JF unaweza kutosha kuwaandika , wapo waliompongeza na kumheshimu , lakini wapo waliomtukana na kumdhalilisha bila kujali alikowaokota na kuwapa heshima mbele ya jamii , hata hivyo hajawahi kulipa kisasi , Mtu huyu si wa kawaida .

Naanza kuamini Erythrocyte ndiye Mbowe ingawa nashindwa kuhakiki elimu yake imewezaje kumfanya aelewe maana ya neno Erythrocyte.
Hivi kweli hata kama elimu ni ndogo, unaweza linganisha CHADEMA na ANC? Yaonekana huifahamu Afrika na siasa zake, ingawa naona ni kama uzembe tu maana TZ tumeelimishwa sana juu ya siasa za kusini mwa Afrika; anzia Msumbiji hadi kusini.

Mbowe anajua hawezi kuwa rais, lakini anajua akipata wabunge, ruzuku zinaongezeka. Ni Mkiti wa ruzuku.
 
Imagine uko kwenye nchi wabunge(wawakilishi wa wananchi) hawana maswali kabisa kwa serikali
Ndugu yangu,
Dawa ni kuamua kufunga na kusali kwa mwezi mmoja mfulilizo ili kumlilia Mungu wetu aje tena kuikomboa nchi kutoka kwenye ushetani na unafiki ambao umejichimbia .
Tunaoitakia mema nchi hii tuungane kumuomba Mungu wetu kuleta tena tukio kubwa litakalo sababisha kuitishwa uchaguzi mpya ukiwa chini ya tume huru.
Mungu mwema aliyetuondolea lile dhalimu kwa nia ya kuisafisha na kuijenga upya Tanzania, hatotuacha bila majibu mema. AMEN
 
Naanza kuamini Erythrocyte ndiye Mbowe ingawa nashindwa kuhakiki elimu yake imewezaje kumfanya aelewe maana ya neno Erythrocyte.
Hivi kweli hata kama elimu ni ndogo, unaweza linganisha CHADEMA na ANC? Yaonekana huifahamu Afrika na siasa zake, ingawa naona ni kama uzembe tu maana TZ tumeelimishwa sana juu ya siasa za kusini mwa Afrika; anzia Msumbiji hadi kusini.

Mbowe anajua hawezi kuwa rais, lakini anajua akipata wabunge, ruzuku zinaongezeka. Ni Mkiti wa ruzuku.
Masahihisho : Sijaifananisha CHADEMA na ANC , nimesema Chadema ni zaidi ya ANC .
 
Kwa Magu hakuna ubishi, kichaatu ndio hawezikumuelewa nishujaa mwenye kujiamini na asietikisika. Alikuwa na sifastahiki za kuwakiongozi.

Wanao mkejeli wanajitoa akili tu.
Duh, kweli binadamu tunaona na kuwaza tofauti sana! Aisee!
 
Duh, kweli binadamu tunaona na kuwaza tofauti sana!
Ndio ivyo.
Ndiomana kuna walio semaga hawataki maendeleo ya vitu wanataka maendeleo ya watu, na wengine wakasema hakuna tofauti kati ya maendeleo ya vitu na watu, wengine wakasema maendeleo ya vitu ndio maendeleo ya watu sababu watu ndio wanatengeneza vitu.
 
Mwendazake kaishambulia CDM kila angle, kila kona na kwa kila mbinu zikiwemo za kushawishi na kununua viongozi- ila kaiacha CDM ndiyo kwanza inachanua !! CDM ni sauti ya Mungu - ukitaka kuishughulikia CDM basi jipange ndugu maana nguvu unayoishughulika hata huijui.

Kuhusu Mwamba sitii neno - kile ni kisiki cha mpingo !!.
 
Ukiachilia mbali kwamba Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA , Chama cha siasa kilichoshambuliwa zaidi barani Africa kikifuatiwa na ANC ya Africa Kusini enzi za makaburu , Lakini pia duru za kisiasa za dunia zinamtaja Mbowe kama Mwenyekiti bora wa chama cha siasa kuwahi kuwepo barani Africa tangu kuumbwa kwa Mbingu na Ardhi.

Idadi ya vijana aliowafundisha siasa hakuna ukurasa wa hapa JF unaweza kutosha kuwaandika , wapo waliompongeza na kumheshimu , lakini wapo waliomtukana na kumdhalilisha bila kujali alikowaokota na kuwapa heshima mbele ya jamii , hata hivyo hajawahi kulipa kisasi , Mtu huyu si wa kawaida .

Sawa mjumbe wa saccos ya ufipa. Wewe ulipata chumba, nyalandu alisema alipofika mlimkaribisha na kumwacha sebuleni maana kwenye vyumba kuna wenyewe 😀😀😀
 
Back
Top Bottom