idoyo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 3,050
- 1,401
Katika barua ya TPA kwenda kwa waendeshaji wa bandari kavu (ICD), inaelezwa kuwa watasimamisha 'vehicle allocation' kwa kuwa mizigo (ikiwemo magari) imepungua (decline) sana bandarini. Poleni sana ICDs, na vijana wote mlioajiriwa au kujiajiri humo. Labda mizigo itaongezeka baadaye!
=============
=============