M Magoo JF-Expert Member Sep 4, 2011 445 72 Oct 20, 2011 #21 RussianRoulette said: Watakua wameinvert: umetumia 400MB, umebakiza 16074 (or 16GB)... nadhani... Click to expand... 1GB =1000MB so kama total ni 400mb=0.4gb, hizo 16gb zatoka wapi? mashine zao zimepata kifafa
RussianRoulette said: Watakua wameinvert: umetumia 400MB, umebakiza 16074 (or 16GB)... nadhani... Click to expand... 1GB =1000MB so kama total ni 400mb=0.4gb, hizo 16gb zatoka wapi? mashine zao zimepata kifafa
BPM JF-Expert Member Mar 10, 2011 2,760 573 Oct 20, 2011 #22 aisee preta hata mimi hiyo nimeiona na hadi sasa ni karibu masaa 3 natumia haibadiliki
Perry JF-Expert Member Feb 24, 2011 10,043 2,000 Oct 21, 2011 #23 Hahahahahaaa mlikuwa hamjui? Jana jioni na usiku AIRTEL ilikuwa bureeee! Xow kama chance ilikupita imekula kwako!
Hahahahahaaa mlikuwa hamjui? Jana jioni na usiku AIRTEL ilikuwa bureeee! Xow kama chance ilikupita imekula kwako!
Mtazamaji JF-Expert Member Feb 29, 2008 5,937 1,437 Oct 21, 2011 #24 Preta said: asante sana.......ni kama ulijua jinsi nazimikia movie.......ndio napakua sasa...... Click to expand... P umefanikiwa kupakua hako ka movie na 16 GB zako ?
Preta said: asante sana.......ni kama ulijua jinsi nazimikia movie.......ndio napakua sasa...... Click to expand... P umefanikiwa kupakua hako ka movie na 16 GB zako ?
Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,446 Oct 21, 2011 #25 Preta said: Nilikuwa nacheck salio kwenye modem yangu nikapata majibu haya...... sasa hapa sijaelewa....hizo 16GB ndio nimepewa offer rasmi au inakuwaje?.....wataalam wa mambo haya naomba mnisaidie...... Click to expand... Hamia tiGo unapata internet isiyo na kikomo wewe nikubonyeza tu
Preta said: Nilikuwa nacheck salio kwenye modem yangu nikapata majibu haya...... sasa hapa sijaelewa....hizo 16GB ndio nimepewa offer rasmi au inakuwaje?.....wataalam wa mambo haya naomba mnisaidie...... Click to expand... Hamia tiGo unapata internet isiyo na kikomo wewe nikubonyeza tu
M Mputi Member Sep 9, 2011 52 7 Oct 21, 2011 #26 Fidel80 said: Hamia tiGo unapata internet isiyo na kikomo wewe nikubonyeza tu Click to expand... Tulianza kuchakachua mordem zao, sasa iv 2mechakachua na line, net mwanzo mwisho
Fidel80 said: Hamia tiGo unapata internet isiyo na kikomo wewe nikubonyeza tu Click to expand... Tulianza kuchakachua mordem zao, sasa iv 2mechakachua na line, net mwanzo mwisho