how great are you jamani!!...dr.holygrail rweyemamu can pay you as you wish!...but im afraid if there'z any mbebez in dar worth that much!...
I kinda get this holygrail guy. He knows how to enjoy people while they get worked up for no reason really.
Sociopath....
hivi mods,kwenye uzi kama huu si mtupe tu wadau freestyle time watu tumtukane huyu jamaa mpaka tuchoke wenyewe!
Lool!!!!! yani hili tusi limenifanya nicheke mpk kupaliwa.
dark continent, dark country, dark people, dark civilization,..dark everything!!...hahahaha!..nita enjoy sana!!..
Weka picha YAKO NA YA GARI,sasa oleeee wako yawe magari local ambayo hata bongo yamejaa...tunataka vitu Escalade,chrysler,rolls royce na mengine cjui mnaitaje, bila kusahau salary slip ama bank balance kama hujaajiriwa....
Na ur namba yako ya simu,pls,me ntakutafuta
Kama umewahi kusafii sana basi mwisho wako ni Manzese kwa mfuga mbwa. Angalia usije ukaliwa weweBandugu wote wa jf napenda kuwataarifu kuwa dr.holygrail anarudi bala la giza!!
Nimekaa sana mbelez you know!! Mbebez wa huku ni super viwangoz you know!! Mara ya mwisho kuja bara la giza ilikuwa miaka 14 iliyopita.
Kipindi hicho mbebez wa tz had true love you know!! Ila sasa nasikia mbebez ni ze majangazz!!...i heard tht if you have a car then all super mbebez are yours!!
Sasa warembo mimi nakuja na ndinga zangu mbili kali sana!!...infact mi mutu ya raha asee!!...najua ntawatafuna sana!
Vilaza wote wenye mbebez wa ukwee mjue watawaacha!!...kwanza mijanamume ya bongo maskini sana halafu mivivu ya kazi!!...kwahyo mjipange sana you know!!
Dr.holygrail
mailmore, e95
enderby
UK.
Div 4 za point 46 in action!!