Sasa narudi bongo na ndinga kali!!..mbebez wakarez mjiandae!!

Sasa narudi bongo na ndinga kali!!..mbebez wakarez mjiandae!!

ok karibu sana bara la giza,huku tutakufundisha kuwa si kwamba kuna giza ila macho yako ndio hayaoni!

dark continent, dark country, dark people, dark civilization,..dark everything!!...hahahaha!..nita enjoy sana!!..
 
watu wanatupiaga viroba.kwanza haki ya nani kabla ya kuweka thread kama hii..shame.on u!
 
hahahaaaaa sku hiz watu hawashobokeeee ulayaaaaaaaa kwanza utakuw UMERUDI BABU one gooooool had morning utatafuna ndinga au kuleee tandareee nenda huko wakashokeee ndinga
 
hahahaaaaa sku hiz watu hawashobokeeee ulayaaaaaaaa kwanza utakuw UMERUDI BABU one gooooool had morning utatafuna ndinga au kuleee tandareee nenda huko wakashokeee ndinga

hopefully utakuwa mbebez mkare sana you know!! Ni pm basi!
 
Bandugu wote wa jf napenda kuwataarifu kuwa dr.holygrail anarudi bala la giza!!

Nimekaa sana mbelez you know!! Mbebez wa huku ni super viwangoz you know!! Mara ya mwisho kuja bara la giza ilikuwa miaka 14 iliyopita.

Kipindi hicho mbebez wa tz had true love you know!! Ila sasa nasikia mbebez ni ze majangazz!!...i heard tht if you have a car then all super mbebez are yours!!

Sasa warembo mimi nakuja na ndinga zangu mbili kali sana!!...infact mi mutu ya raha asee!!...najua ntawatafuna sana!

Vilaza wote wenye mbebez wa ukwee mjue watawaacha!!...kwanza mijanamume ya bongo maskini sana halafu mivivu ya kazi!!...kwahyo mjipange sana you know!!

Dr.holygrail
mailmore, e95
enderby
UK.
Huyu kama sikosei Mtandao wa Dar hot wire alikuwa anajiita gayUk
 
Umasikini n mbaya sana..
Kama ungezaliwa kwenye familia bora,usingeona hzo gar mbli ndo kila kitu kwako..
 
Weka picha YAKO NA YA GARI,sasa oleeee wako yawe magari local ambayo hata bongo yamejaa...tunataka vitu Escalade,chrysler,rolls royce na mengine cjui mnaitaje, bila kusahau salary slip ama bank balance kama hujaajiriwa....
Na ur namba yako ya simu,pls,me ntakutafuta
 
Inabidi tuvumiliane na huyu bwana kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake.

Utofauti wa mawazo ndo utajiri.

Karibu bara la giza ila sitaweza kukupa dada yangu upumue nae sababu una tuhuma ya kupumuliwa kisogoni.

Kind regards,
Humble african.
 
Mbona huu uandishi kama wa njemba moja hivi ya miaka 55! Ipo humu humu JF.
 
Inabidi tuvumiliane na huyu bwana kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake.

Utofauti wa mawazo ndo utajiri.

Karibu bara la giza ila sitaweza kukupa dada yangu upumue nae sababu una tuhuma ya kupumuliwa kisogoni.

Kind regards,
Humble african.

dark ideas!!..dark advice!!...dark everything!
 
Kwa kweli mkuu utawagonga sana hawana maana hawa viumbe

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
hahahaaaaa sku hiz watu hawashobokeeee ulayaaaaaaaa kwanza utakuw UMERUDI BABU one gooooool had morning utatafuna ndinga au kuleee tandareee nenda huko wakashokeee ndinga

1. Chevrolet Corvette
Stingray
2.2014 Subaru XV
Crosstrek Hybrid

hapo hata binti wa raisi hachomoi. Hizi ndinga hata raisi wenu hana!
 
Back
Top Bottom