korea kaskazini
Senior Member
- Feb 26, 2014
- 122
- 26
kuna vtu vngne unapima kwa akili 2 kuhusu uyo jamaa
Kuna watu mtu kama huyu watataka kumchukulia seriously.
ila hii thread inachekesha sana!jamaa anavyoweka zzz zzzz kwenye maneno yake burudani tosha....mbebez,viwangoz,majangaz duh nacheka kwelikweli,kuna demu mmoja anaitwa MAVU nitamuunganisha naye sasa sijui atamuitaje na tabia yake ya kuongeza Z mbele!
mi namkusanyia wadada poa wa bei rahisi hata hapo airtel nitapita namkusanyia namdanganya ni watoto safi wa njiro ppf,nakusanya paundi 23 kila mmoja namuachia aseme na virus ndio atajua kuwa hili ni bara la giza,lazima nimuingize gizani!nyambafu zake!eti mbebez!jamaa sijui ni chizi yule!
Mkuu ukirudi utalia mwenyewe, gari si dili hapa Bongo.Bandugu wote wa jf napenda kuwataarifu kuwa dr.holygrail anarudi bala la giza!!
Nimekaa sana mbelez you know!! Mbebez wa huku ni super viwangoz you know!! Mara ya mwisho kuja bara la giza ilikuwa miaka 14 iliyopita.
Kipindi hicho mbebez wa tz had true love you know!! Ila sasa nasikia mbebez ni ze majangazz!!...i heard tht if you have a car then all super mbebez are yours!!
Sasa warembo mimi nakuja na ndinga zangu mbili kali sana!!...infact mi mutu ya raha asee!!...najua ntawatafuna sana!
Vilaza wote wenye mbebez wa ukwee mjue watawaacha!!...kwanza mijanamume ya bongo maskini sana halafu mivivu ya kazi!!...kwahyo mjipange sana you know!!
Dr.holygrail
mailmore, e95
enderby
UK.
naunga mkono ombi anahamu ya kutovugwa kinyeo huyu!hivi mods,kwenye uzi kama huu si mtupe tu wadau freestyle time watu tumtukane huyu jamaa mpaka tuchoke wenyewe!
kwa sababu watu wenye vitu hivyo hawa behave ivyo it seems jamaa ni limbukeni sana!
Precisely why you should not take this person seriously.
At this rate, ukitaka kumchukulia huyu seriously, unaweza kujikuta unakifurahisha kitoto cha miaka 12 ambacho hakina kazi na kina mtandao, kimeamua kuuchezea tu na kuangalia watu watasemaje.
I kinda get this holygrail guy. He knows how to enjoy people while they get worked up for no reason really.
Sociopath....