Sasa narudi bongo na ndinga kali!!..mbebez wakarez mjiandae!!

Sasa narudi bongo na ndinga kali!!..mbebez wakarez mjiandae!!

mbebez wote super viwangoz!!..3 days to go!!...nimemiss bara la giza you know!!
 
Bandugu wote wa jf napenda kuwataarifu kuwa dr.holygrail anarudi bala la giza!!

Nimekaa sana mbelez you know!! Mbebez wa huku ni super viwangoz you know!! Mara ya mwisho kuja bara la giza ilikuwa miaka 14 iliyopita.

Kipindi hicho mbebez wa tz had true love you know!! Ila sasa nasikia mbebez ni ze majangazz!!...i heard tht if you have a car then all super mbebez are yours!!

Sasa warembo mimi nakuja na ndinga zangu mbili kali sana!!...infact mi mutu ya raha asee!!...najua ntawatafuna sana!

wote wenye mbebez mjipange sana you know!!

Dr.holygrail
mailmore, e95
enderby
UK.


Yaan wewe ndio Stupid Thinker #1 humu kwani lazima uandike threads si unaweza kuwa msomaji tu wa nyuzi za watu humu kuliko kujaza server tu.
 
Aisee sikupaona hapaa duuu huyu nshomile bana
 
Hehehe,aisee kazi ipo sana,kama ndo wanavyotambaga mbona nitaacha kumfukuzia mtoto mmoja wa kihaya
 
Back
Top Bottom