Mkuu, upo sahihi kabisa... Walikuwa wanatuandaa wananchi tuangalie Shilawadu siku hiyo ili tujionee upuuzi waliouandaa.Hakuna wa kumkemea yule kijana, hizi sinema wanazo tuigizia watambue hazitokuwa na mwisho mzuri kwao.Wasifikiri tutaendelea kuwashangilia wakitumia ofisi za umma vibaya na fedha za walipa kodi watakavyo.Mkuu alipiga sim ile kwa maono....kwanza hili la gwajima tayari lilisha andaliwa so akafanya vile kuipa promo shilawadu ili watu wengi waanze kuangalia kipindi icho.
walikua na target yy na mwanae.
Mayala kwa kisukuma ni njaa, itakuwa alizaliwa mwaka wa njaa acha ajipendekeze apate ugali wa watoto, toka siku ile pale jumba jeupe alipouliza swali lenye hakili akawa targeted and controlled, ata ningekuwa mimi ndio Mayala ningechagua ugali wa watoto.kijana una akili kuliko paschal mayalla
Umetufungua macho. Kwa mantiki hiyo DAB bado atakuwepo sana Dar.Mkuu alipiga sim ile kwa maono....kwanza hili la gwajima tayari lilisha andaliwa so akafanya vile kuipa promo shilawadu ili watu wengi waanze kuangalia kipindi icho.
walikua na target yy na mwanae.