Kinachonishangaza kwa Zito ni kwamba haoni kwamba alikosea CHADEMA na hayuko tayari kukiri makosa na udhaifu wake kwakuwa personality yake haiko hivyo
Zito amatumika na ccm, huu mradi haukuanza leo, na ni mmojawapo wa miradi mingi ya kukidhoofisha CHADEMA, wanajua nini kitatokea CHADEMA kikichukua nchi
Kuna mradi wa kuwafitinisha viongozi wa CHADEMA, au kuwaua, au kuwagombanisha na vyama vingine vya siasa, pia kutumia turufu ya udini ukanda na ukabila
Siwezi kusema CHADEMA hakifanyi makosa, lazima yawepo kwakuwa kinaongozwa na binadamu na sio malaika. Lakini tukikiweka CHADEMA na ccm/ACT kwenye mizania ya haki CHADEMA ni bora kuliko hao wengine
Zitto hatakubali hata siku Moja kuwa anatumika lakini matendo yake na mwelekeo wake utathibitisha kila kitu, tuwe na subra WAKATI SI MILELE
Na wanaomfuata hawajui kama wanatumika
Rafiki wa kike.as zito.aliyekuwa.akipokea.pesa.kutoka benk Za tz kisha kumtumia zito, zito na wajanja wenzie waliotaka kuiteka bavicha awali kabla ya matokeo kufutwa wakizisambaza fedha through mpesa Kwa viongoz wa wilaya matawi na mikoa ili wamsapoti zito
Hiv kwel shy land huoni japo unayo macho licha jr na wengine kukufunulia ukweli
Wote mnaoamia act kufuata uzalendo mnaouita ambao ni uzalendo ulio ktk mfuko wa zito na Kwa moyo wake tu na si Kwa nchi tz,
Kweli jr wakati si milele na November 2015 lazima tuimbe kila mmoja Kwa tune yake maneno haya aliyoyasema Paulo wakati anamuga timotheo ktk waraka wake wa pili
" nimeumaliza mwendo nimepigana vita vilivyo vizur imani nimeilinda nasubir kivikwa taji"
Only time will tell
Hizi nyimbo zimeshachuja ndugu. Tafta mistari na vibwagizo vipya kwan haya yote tunajua kama ni ajenda ya kuupotosha ukweli.
Kilichomtoa Zitto chadema ni tamaa za madaraka kwa Wahafidhina na malengo ya mmiliki wa chama bado hayajatimia hivyo kuwaleta watu kuja kutawala chama chao never hiyo haipo.
Acheni kuweweseka.,. Kwakua mmetufukuza wenyewe sisi kama wazalendo tumeamua kuanzisha movement mpya ili maisha yaendelee.
Kumbuka hata wana wa israel walihangaika jangwani zaidi Ya miaka 40 kabla ya kuifikia nchi ya ahadi.
Bora tuchelewe kufika ikibidi tusifike ila watoto wetu wa kizazi kijacho watafika.
Huwezi kuhubiri demokrasia mdomoni na kwenye makaratasi wakati kivitendo haipo.
Huwezi kuimba vita ya ufisadi dhidi ya serikali kwenye mikutano wakati wewe nyumbani kwako unaiibia na kuidhurumu familia yako.
Huwezi kuikosoa katiba ya nchi wakati ya kwako ina uozo mwingi na umeifanya vile makusudi ili ikupe upenyo wa kutawala milele.
Huwezi kutumia nguvu nyingi kumlaani mtu na kuelezea madhambi yake wakati na wewe ni sehemu ya binadamu viumbe dhaifu na una makosa yako mengi tu watu wanayaona japo wengine wanakua vipofu kwa kuongozwa na mahaba.
Haiwezekani chama kilichokua kikikua kwa kasi na kuonyesha kila dalili ya kukamata dola siku za baadae kikawa na taswira ya kuongozwa na wenyeviti wenye nasaba ya famili moja yani 1.baba,2.shemeji.3.mkwe... alafu leo hii ukasema tuendelee kukiamini kama chama cha demokrasia.
VUA GAMBA,VUA GWANDA,VAA UZALENDO.
Ramakism hukutakiwa kumjibu lolote huyo! Kwakuwa moyoni anaikubali CHADEMA ila machoni pa wengi anaikandia! NI KWASABABU ANATUMIKAKama uaminifu kaz utawezaji kumwamin huyo zito wako
panua uwanja wako wa kufikir siasa ktk dunia ibaki ktk kuamin maneno ya mtu wala matendo yake bali the true identity inside of his thoughts, and actions, pia outside ya yale anayofanya na kutenda mbele yenu.
Unafsi unasomwa in the way you behave without talking,
Drawing the final conclusion of somebody need quite na deep studying of manner through reasoning accompanied with perfect will
Hahahahahahhahahahahahah Hahahahahahhahahahahahah Hahahahahahhahahahahahah Jr
Baada ya kutafakari kwa kina na kuangalia kila pande za Tanzania huku nikichunguza kwa undani vyama vya siasa hapa nchini kuanzia CCM, CDM, CUF, NCCR-MAGEUZI, n.k.
Nimeelewa yafuatayo:
1. CCM ni chama cha mafisadi ambacho kwa hakika hakiwezi kuleta unafuu wa maisha kwa mtanzania masikini asiye na mbele wala nyuma. Hivyo, hakuna ukombozi ndani ya CCM.
2. CHADEMA ni chama kilichojaa unafiki, fitina, uzandiki na uhafidhina. Kuweka matumaini ndani ya chama hicho ni sawa na kupaka rangi upepo. Hakuna ukombozi kwa mtanzania wa hali ya chini utakaopatikana kupitia chama hicho.
CHADEMA ina mwonekano wa kifamilia, vilevile ina kila dalidali ya mwelekeo wa Ki-CCM. Huku viongozi wake wakiwa wanasukumwa sana na nguvu za kusaka tonge.
3.Vyama vingine vyote vya kisiasa vilivyosalia ndani ya Tanzania havina demokrasia ya wazi na harisi yenye mwelekeo wa kumkomboa mtu masikini ndani ya nchi hii.
Hivyo, nguvu zangu zote na akili yangu yote sasa navielekeza kwenye chama kipya cha ACT.
Nashawishika kufanya hivyo kutokana na sera za chama hicho zilizo wazi pamoja na demokrasia ya wazi inayokiendesha chama hicho.
Lakini kikubwa zaidi ni namna safu ya uongozi wa chama hicho ulivyo na weledi wa kisiasa wa kutosha kutokana na kufahamu kwa kina siasa za nchi hii zilivyo.
Zitto Zuberi Kabwe, Prof. Kitila Nkumbo, Samson Mwigamba, Nyakarungu, na vichwa vingine vya uhakika naamua kuungana navyo katika harakati za kukomboa watanzania kutoka katika kucha za mkoloni mweusi CCM.
Baada ya kutafakari kwa kina na kuangalia kila pande za Tanzania huku nikichunguza kwa undani vyama vya siasa hapa nchini kuanzia CCM, CDM, CUF, NCCR-MAGEUZI, n.k.
Nimeelewa yafuatayo:
1. CCM ni chama cha mafisadi ambacho kwa hakika hakiwezi kuleta unafuu wa maisha kwa mtanzania masikini asiye na mbele wala nyuma. Hivyo, hakuna ukombozi ndani ya CCM.
2. CHADEMA ni chama kilichojaa unafiki, fitina, uzandiki na uhafidhina. Kuweka matumaini ndani ya chama hicho ni sawa na kupaka rangi upepo. Hakuna ukombozi kwa mtanzania wa hali ya chini utakaopatikana kupitia chama hicho.
CHADEMA ina mwonekano wa kifamilia, vilevile ina kila dalidali ya mwelekeo wa Ki-CCM. Huku viongozi wake wakiwa wanasukumwa sana na nguvu za kusaka tonge.
3.Vyama vingine vyoteNenda mkapigane ngumi huko
Mbona hukumtaja Limbu?
Well said.Hizi nyimbo zimeshachuja ndugu. Tafta mistari na vibwagizo vipya kwan haya yote tunajua kama ni ajenda ya kuupotosha ukweli.