Sasa naanza kuwaelewa walioajiriwa

Sasa naanza kuwaelewa walioajiriwa

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
3,560
Reaction score
7,591
Baada ya kushauriwa na wana kwamba ukitaka kufanikiwa jiajiri.

Basi nikaacha kazi nikauza nyumba kuanza kuwekeza kwenye biashara.

Kilichofuata. Tusidanganyane ngoja niendelee kutumwa maisha yenyewe haya haya.

Nb sio kila binadamu kazaliwa kuwa tajiri wengine tumeubwa kutumwa using'ang'anize mambo
Utajipotezea muda.
 
Baada ya kushauriwa na wana kwamba ukitaka kufanikiwa jiajiri

Basi nikaacha kazi nikauza nyumba kuanza kuwekeza kwenye biashara

Kilichofuata.......... Tusidanganyane ngoja niendelee kutumwa maisha yenyewe haya haya

Nb sio kila binadamu kazaliwa kubwa tajiri wengine tumeubwa kutumwa using'ang'anize mambo
Unajipotezea muda
Ulijichanganya tuu Mkuu,kujiajiri ndio mpango wa maana kiukweli!
 
Baada ya kushauriwa na wana kwamba ukitaka kufanikiwa jiajiri

Basi nikaacha kazi nikauza nyumba kuanza kuwekeza kwenye biashara

Kilichofuata.......... Tusidanganyane ngoja niendelee kutumwa maisha yenyewe haya haya

Nb sio kila binadamu kazaliwa kuwa tajiri wengine tumeubwa kutumwa using'ang'anize mambo
Utajipotezea muda
Itakuwa baada ya kuuza nyumba uliendekeza anasa kwa pesa ya mtaji
 
Mkuu kila kitu lazima liwe na mpango wa majaribio kabla ya kufanyiwa kazi.

hauwezi kuamka tu uka sema naacha kazi nika jiajiri, nope it doesn't work like that labda baba ako awe rostam so uko na un limited resources.

Miaka 2-3 Kabla ya kuacha kazi ili paswa uwe Umesha andaa mpango wako, na kuanza kuufanyia kazi uki angalia maendeleo yake.

Kingine biashara au ajira si kwa kila mtu.
 
Kila mtu ana Talanta!
 
Wewe ulikosea sehem mbili. Kwanza kabisa kuambiwa na watu kwamba ujiajiri ilo ndo lilikuwa kosa la kwanza yaan mtu mzima kama ww inabid uwe na maamuz yako mwenyewe kwenye ishu sensitive kama izo sio kukurupuka kwa maneno ya watu kila mtu na njia zake za kimafanikio. Pili kuacha kazi ilibidi iyo biashara iwe ilishasimama hata miaka miwili na unaijua ndani nje faida na changamoto zake atleast miaka miwili mpaka minne sasa ukishaona hapa naweza simama bila ajira ndo unaacha kazi sasa ww unauza nyumba na kuacha kazi hujui hata iyo biashara itasimama au lah ila watu mmesoma ila akili za maisha huwa ndogo sana
 
Back
Top Bottom