ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,956
- 7,002
Yaani kambale ni ghali kuliko sato? Mbeya buanaShamba langu liko njia panda ya itende jijini Mbeya. Kwa sasa nafuga samaki aina ya sato na kambale. Mradi wangu umeanza miezi sita iliyopita.
Nimeanza kuuza samaki wa kubwa lakini pianauza vifaranga vya samaki.
Bei kwa vifaranga ni tshs 500 kwa sato na tshs 700 kwa kambale.
Kwa mnaohitaji kupata huduma mnaweza kunipigia au kufika shambani
Karibuni
0624088590