ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Watanzania kwa sasa wanaanza kuelewa nani mkweli na yupi mjanja mjanja.. hawa jamaa ni wakali kitambo sema hawana promo.. nimejifunza mengi sana kutoka kwao..kuanzia elimu na burudaniHawa Jamaa wanakuja vizuri na michezo yao inachekesha + mafunzo
Mfano mchezo Wao wa leo jumapili kwa mlioshuhudia Wale akina Masanja wamebaki umaarufu tu,so kama walivyokuaga Eatv na pia Wanakosa reality hasa kwenye suala la kuigiza sehemu ya jinsia -ke,Kwa Sie wengine joti keshatuchosha na Yale mawigi na matiti.
Hongereni Mizengwe mpo vizuri kazeni buti pia elekezeni wapi tuwaletee ushauri kuzidi kujiboresha.
Pongez nyingi mnooo kwa kujituma kwao
Ngoja nikutumie, mi ninayo ya faru JohnLeta picha/clip
Hii mizengwe ndo comedy nayoilewa, siyo hao wengine wanafikiri eti comedy ni kudhihaki watu, kuvaa kiajabuajabu na kuongea kijingajingaSijawahi kukosa kuwatizama hawa watu, nikiwakosa najiskia vibaya. Mara Kibao nakutana nao Coco beach wanauza DVD zao huwa nazinunua tu