Sasa miito ya simu yenye ujumbe wa dini marufuku!!!

Sasa miito ya simu yenye ujumbe wa dini marufuku!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
946
Akijibu swali la mh Mbatia ktk maswali ya papo kwa papo,mh waziri mkuu amesema rais ameshakutana na vyombo husika na tamko rasmi litatoka punde.
Ameomba radhi kwa makampuni ya simu kwamba wasiilaumu serikali juu ya maamuzi hayo maana lengo la serikali ni kuendelea kudumisha amani ya nchi kwa wananchi wote,dini zote na kwa wasio na dini!
 
Afadhali naona sasa Mh. Rais ameanza kuona kasoro na ameacha kutabasamu muda wote.
 
Miito kwa maana ya nyimbo zenye maudhui ya dini au miito yenye maudhui ya mahubiri
 
Haaa! Mnasingizia miito bure

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
huyu Mbatia naona kachanganyikiwa au anatafuta umaarufu kupitia hilo la miito ya simu.
 
Hawa watu vipi? Sasa si wapige marufuku Kengele kupigwa inawezekana zinawakera watu wengine? Lakini pamoja na halo wapige marufuku vipindi vya dini redioni...
 
Sijui tuna matatizo gani!
miito ina shida gani?
 
uelewa mdogo kuna mambo ya kufanya zaidi hii hapa.
 
Afadhali naona sasa Mh. Rais ameanza kuona kasoro na ameacha kutabasamu muda wote.

hata ikiwa hivyo hakutakuwa na mabadiliko yoyote kwani msingi aliouweka kwamwe hawezi kuubadilisha mwishoni kwani ni sawa na kujenga msingi wa nyumba ya tope na ukamalizia juu kwa tofali ni haiwezekani. Kaleo rushwa na mpaka sasa imeota mizizi na kuing'oa ni ngumu sana labda ing'oke nae
 
Basi arudi nyuma akabadili kampeni zake zenye kutaja wapinzani wake ni wadini kwani ndo chanzo cha yote na si kusingizi miito ya sim
 
If this is true, then SHARIA is in Practice in Tanzania. I will explain with impeccable Allahic exhibits:

Those Muslims who enjoy music, fine silk, drinking and sex-some of them Allah will destroy, some of them will be transformed into monkeys and pigs… (Sahih Bukhari, 7.69.494v)

According to Sharia law music, songs and dances are haram (prohibited) activities (al-Misri, 1999, p.774-776).

This Sharia law is quite length. I shall quote only the relevant parts.
Musical instrument
Quoting various sources, from the Qur'an and ahadith, the Sharia law on musical instrument stipulates:

All of this is explicit and compelling textual evidence that musical instruments of all types are unlawful.

Law r40.2 (Nawawi) It is unlawful to use musical instrument-such as those which drinkers are known for, like mandolin, lute, cymbals and flute-or to listen to them. It is permissible to play the tambourine at weddings, circumcisions, and other times, even it has bells on its sides. Beating the kuba, a long drum with a narrow middle is unlawful.

It is now clear that if President Kikwete decided to stop Religious Songs "in Phones" then he should stop Music in its entirety since he wants to execute SHARIA in Tanzania without Tanzanians knowing.

It is pathetic ad infinitum.
 
Hawa watu vipi? Sasa si wapige marufuku Kengele kupigwa inawezekana zinawakera watu wengine? Lakini pamoja na halo wapige marufuku vipindi vya dini redioni...

According to Islamic Laws , bell is Satanic. So, expect them to stop Church Bells soon. Hereunder is the empirical exhibit/proofs from Sahih Hadeeth..

The bell is the musical instrument of Satan… (Sahih Muslim, 24.5279)

Book 024, Number 5279:
Abu Huraira reported Allah's Messenger (may peace be upon him) as saying: The bell is the musical instrument of the Satan. Similar ahadith are found in Sunaan Abu Dawud.

The bell is a musical instrument of Satan…(Sunaan Abu Dawud, 2.14.2550)

Sunaan Abu Dawud, Vol ii, Book 14, Hadith Number 2550:
Abu Hurairah reported the Prophet (may peace be upon him) as saying: The bell is wooden wind and musical instrument of Satan.

Let us read another hadith from Sunaan Abu Dawud.
Singing, playing and simple amusement without musical instrument is allowed…

(Sunaan Abu Dawud, 3.41.4905
Sunaan Abu Dawud, Vol.iii, Book 41, Hadith Number 4905:Anas said: When the Apostle of Allah (may peace be upon him) came to Medina, the Abyssinians played for his coming out of joy; they played with spears.
 
Mwisho watakuja na tamko la kukataza tones za dini, this country bwana haina viongozi wenye akili. Hapa naona wanaingilia uhuru wa mtu binafsi kiimani
 
Tusiingilie UHURU wa mtu kuweka mlio anaotaka kwenye simu yake. Kama hupendi huo mlio usimpigie simu, na kama umepiga bila kujua basi kata mara unaposikia huo mlio. Ni muhimu sana kuheshimu uhuru wa mtu mmoja mmoja.

Pale inapobidi kukataza kitu basi mswada upelekwe bungeni. Ni udikteta kwa Rais kukataza wanaume wa nchi nzima kitu. Ni kazi ya bunge, na likishapitisha KATAZO bunge, basi anayeona katiba imekiukwa anakwenda mahakamani.

Mzee Ruksa alijua hili. Huyu mtawala wa sasa anaelekea ni mkomunisti.

uhuru wakuchagua umeingiliwa na Siasa....
nn kazi ya Reguratory ya Mawasiliano ?
Je Redio za Dini zitaruhusiwa kusikilizwa au nazo tuzihesabie siku kufungwa maana zinahubili dini.
Tz nchi yenye mipango ya papo kwa papo pasipo tafakari na udadisi wa mambo
 
If this is true, then SHARIA is in Practice in Tanzania. I will explain with impeccable Allahic exhibits:

Those Muslims who enjoy music, fine silk, drinking and sex-some of them Allah will destroy, some of them will be transformed into monkeys and pigs… (Sahih Bukhari, 7.69.494v)

According to Sharia law music, songs and dances are haram (prohibited) activities (al-Misri, 1999, p.774-776).

This Sharia law is quite length. I shall quote only the relevant parts.
Musical instrument
Quoting various sources, from the Qur'an and ahadith, the Sharia law on musical instrument stipulates:

All of this is explicit and compelling textual evidence that musical instruments of all types are unlawful.

Law r40.2 (Nawawi) It is unlawful to use musical instrument-such as those which drinkers are known for, like mandolin, lute, cymbals and flute-or to listen to them. It is permissible to play the tambourine at weddings, circumcisions, and other times, even it has bells on its sides. Beating the kuba, a long drum with a narrow middle is unlawful.

It is now clear that if President Kikwete decided to stop Religious Songs "in Phones" then he should stop Music in its entirety since he wants to execute SHARIA in Tanzania without Tanzanians knowing.

It is pathetic ad infinitum.

Acha kupotosha kamanda wangu, SHARIA inakataza mziki wa aina yeyote ile lakini serikali imesema miito yenye maudhui ya kidini! Haujakatazwa kuweka muito wa "Nani Kamwaga Pombe yangu".
 
Back
Top Bottom