Sasa mbona ananisumbua?

Kama huo ndo msimamo wako, huu uzi wa nini sasa
Tatizo linakuja kwa mtoto babaake anaenda kumtia maneno na mm niko mbali so maneno yanamuingia mpk anaanza kunichukia
 
Reactions: BAK
Mamaa wakati wenzako wanazaa watoto wewe umezaa jambazi. Mwanao wa chini ya miaka kumi anatishia kuua mtu? Heee! Huyo naye atakutesa kama babaake yaelekea ni damu yake kweli.
Anaona movies kaniambia akija baba mwengine namuua nampiga pistol au naeka sumu kwenye chakula chake
 
achana na huyo falla aiseee..usitumie hisia kuamua tumia akili

be strong
 
Kwa nn mda huu lkn hajabadlika tangu zaman?
Maisha ndio yalivo kuna time huwa watu wana change, na wanachange sio kwa muda tunao taka sisi ila kwa muda wanao taka wao na kwa matukio wanayo kutana nao wao.
So msikilize, mchunguze kwa kuda mrefu then amua.
Usijizuie kama unahisi una mfeel na unadhan anaweza change.
 
Ahsante
 
Kamchukulie RB shenzi huyo hawezi kukunyanyasa namna ile afu et aje kukulazimisha kurudiana tena kwa vitisho. Acha UFALA
 
Ahsante
 
Siwez Mana na huko keshazaa pia so atakuja kunizonga tu..
 
Kwanza pole sana na matatizo makubwa yaliyokukuta. Pili samahani kwa lugha yangu kali. Utafanya upumbavu wa hali ya juu kama ukiamua kurudiana na huyu shetani. Sijui hata kwanini unapoteza muda wako kuongea naye. Jitambue bi dada jithamini, jipende na ujiheshimu. Mbona kuna wanaume wengi tu wa kumwaga!? Kwanini urudi tena kwa huyu shetani!? Kwa sababu sasa una Mali!?

Ahsante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…