Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
Kwa trend ya mambo ilivyo, na kwakuwa Mbowe ameshiriki kwenda Mwanza, na kwasababu najua 'KUNA KIKAO KIZITO' leo, tuamini kuwa Tanzania ya umoja inakaribia na ni matumaini yangu kuwa Lissu atarudi nchini.
Mengine yatafunguka yenyewe automatically.....
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki Chadema.
Mengine yatafunguka yenyewe automatically.....
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki Chadema.