Sasa Lissu Kurudi Tanzania hivi karibuni

Sasa Lissu Kurudi Tanzania hivi karibuni

waJF ni user generated forum, every member is right to his/her own opinion, na hakuna mtu analazimishwa kufuata mawazo ya mtu yoyote, hivyo kwa maoni yangu, mtu wa kwanza kuombewa abarikiwe ni yule mtu mwenye uwezo na mamlaka ya kubadili hali iliyopo, kabla hata hawajamuomba Mungu aibariki Chadema, wamuombe Mungu ambariki Magufuli, aupokee ushauri wa Mbowe na Kuufanyia Kazi.

P.

Ha ha ha ahsante mkuu Pascal Mayalla . Naona kama unaongea jambo kubwa sana kwa njia ya fumbo. Hongera
 
Ni kweli haya mambo ya kuishi kwa kuwindana kama wanyama wa mwitu si mazuri hata kidogo..tunaomba mwenyezi Mungu mwingi wa rehema awatangukie hao vigogo wote ili maongezi ya kutafuta mwafaka wa kisiasa yafanikiwe.
 
Ni maneno ya Chadema. Tunamuunga mkono na mguu na tunataka kumpandisha wadhifa wake toka Mwanasheria wa chama cheo cha kuteuliwa na kumchagua kuwa Makamu mwenyekiti taifa.
Kwa hiyo wewe ni CHADEMA sana! Mpandisheni kwa malengo na mafanikio yenu. Lakini angalia wenzako wote, angalia na jirani wote. Hakuna Makamu mwenyekiti mwenye busara ndogo kama yeye.
 
Kikao kizito kilifanyika wiki moja kabla hiki cha sasa ni mwendelezo tuu
Kwa trend ya mambo ilivyo, na kwakuwa Mbowe ameshiriki kwenda Mwanza, na kwasababu najua 'KUNA KIKAO KIZITO' leo, tuamini kuwa Tanzania ya umoja inakaribia na ni matumaini yangu kuwa Lissu atarudi nchini.

Mengine yatafunguka yenyewe automatically.....

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki Chadema.
 
You should be truthful to yourself, kabla ya Mungu Ibariki Chadema, ulipaswa kuanza na Mungu mbariki Magufuli, Mungu Ibariki Chadema, Mungu Ibariki Tanzania.
P
No,he is right kwa sababu Magufuli hajawahi kufikiria kutafuta umoja wa kitaifa,kwahyo

Mungu ibariki Tanzania kwanza alafu Mungu ibariki Chadema kwa sababu wametumia busara na hekima kutafuta umoja Tanzania.

Upo hapo bwana P...????
 
Lissu harudi kamwe. Hayo tumeyasema. Lissu alipanga kujishambulia akitarajia waliopanga naye wanampemda sana. Badala yake wakataka kummaliza. Yeye Lissu anafahamu hayo na dereva wake anafahamu yote. Sasa hili linafahamika na siku Lissu akirejea hiyo kesi lazima ingurume. Hiyo aibu Lissu ataiweza??? Ndio maana hata dereva wake atafichwa na kufichwa na kufichwa kwa sababu Lissu anaamini akifanyiwa interrogation atausema ukweli. Aibu hiyo inabebeka? Lissu harudi kamwe.
Kwa koment hii imebaki vita tu nchi hii.
 
Unatoa fahamu zako kwa manufaa ya tumbo lako,nadhani ni biashara inayolipa kwa mda mfupi sana
 
Unatoa fahamu zako kwa manufaa ya tumbo lako,nadhani ni biashara inayolipa kwa mda mfupi sana

Time will tell who is out of mind between you and me.Ila mbona hujibu hoja wala hutaki kuongelea hoja? Au hoja zimekuwa kina kirefu? Tumbo litakuua ndugu yangu, au ndio upeo wa kufikiria umeishia hapo?
 
... hivi kwa sasa Lissu yuko kwenye category gani ya watanzania walioko nje; ni mgonjwa? ni mkimbizi? ni mtalii? anafanya kazi (diaspora)? shughuli za kibalozi? au?
Ni mchanganyiko wa yote uliyotaja
 
Kwa koment hii imebaki vita tu nchi hii.

Nchi hii vita haitokei kwa Lissu kuzunguka huku na huko kujenga hoja kama zile za vibaraka wa Libya walioita mabeberu wakaanzisha vita kumuua Gadaffi. Yaliyotokea Libya ni fundisho kubwa mno kwetu TZ. Matumbo ya vibaraka kama Lissu ambao wako tayari kupanga njama za kushambuliwa eti ionekane wameshambuliwa na serikali kamwe haituyumbishi.Hata hao mabeberu wameshajua Lissu ni feki.
 
Kwanini hakuna uchunguzi wa nani aliyemshambulia Tundu Lissu
Au nchi hii haiongozwi kisheria? hili la kukimbilia mabeberu je mbona hao mabeberu ndio wanaotuchangia bajeti yetu halafu wakiongelea utawala bora ndio wanakua mabeberu

Kijana nchi kuongozwa kibabe hakuna atakarbaki salama iwapo watu wataamua.
 
Kwa hiyo wewe ni CHADEMA sana! Mpandisheni kwa malengo na mafanikio yenu. Lakini angalia wenzako wote, angalia na jirani wote. Hakuna Makamu mwenyekiti mwenye busara ndogo kama yeye.
Busara ya kipimo chako haiwezi kuwa ya kipimo changu!
 
Back
Top Bottom