infinix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 2,092
- 2,150
Swali la kishoga sana hilo,kwani wewe hujui sababu ya kuwepo kwake nje?... hivi kwa sasa Lissu yuko kwenye category gani ya watanzania walioko nje; ni mgonjwa? ni mkimbizi? ni mtalii? anafanya kazi (diaspora)? shughuli za kibalozi? au?