Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,031
- 74,722
You should be truthful to yourself, kabla ya Mungu Ibariki Chadema, ulipaswa kuanza na Mungu mbariki Magufuli, Mungu Ibariki Chadema, Mungu Ibariki Tanzania.
P
Ni agizo kutoka kwa huyo mungu kuwa tuanze hivyo? Yaani mungu mbariki Magufuli, Mungu ibariki Chadema, Mungu ibariki Tanzania?
(matumizi ya capital letters ni ya makusudi)