Sasa kwanini uongee!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Kwanini useme utajenga ghorofa wakati ukijenga litaonekana?!why!
Kwanini useme utakuwa tajiri na wakati ukitajirika watu wataona!why!
Kwanini useme utazaa wakati hata mimba pekee watu wanaona!?
Why! Kwanini useme!fanya kinachoonekana lazima watu waone!
Mwenyezi Mungu huwarehemu wenye siri!
Usimwambie mtu mipango yako inaweza kufall kabla hujaanza Safari

Send using IPhone X
 
Kama unaongoza utakosaje kuwaambia unawaingoza kuhusu mipango? JPM amesema na kutenda na kutekeleza yoote aliyohaidi na kuzidi! Wenye kugeuka jiwe geukani sisi tunasonga mbele
 
Kwanini useme utajenga ghorofa wakati ukijenga litaonekana?!why!
Kwanini useme utakuwa tajiri na wakati ukitajirika watu wataona!why!
Kwanini useme utazaa wakati hata mimba pekee watu wanaona!?
Why! Kwanini useme!fanya kinachoonekana lazima watu waone!
Mwenyezi Mungu huwarehemu wenye siri!
Usimwambie mtu mipango yako inaweza kufall kabla hujaanza Safari

Send using IPhone X
Kwanini utuandikie iPhone x wakati tunajua ni Techno Wereva.

#Bagwell
 
Back
Top Bottom