Sasa itakuwa ngumu mtu kufanya activation ya Windows offline

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
Microsoft activation _20260107_181957_0000.png


Kama ulikua unapenda kufanya activation ya Windows Kwa njia ya Offline 🫵, sasa itakua haiwezekani tena.

2_20260107_181819_0001.png


Lazima kila mtu awe na akaunti ya Microsoft (Microsoft account now is mandatory),

3_20260107_181819_0002.png


Ambapo Kampuni ya Microsoft imeua mfumo wa watu kutumia njia ya local (bila kuwa na akaunti ya Microsoft) kufanya activation ya Windows.

Mfumo huo unafanya kazi Kwa watumiaji wa Windows 11 ulimwenguni kote Kuanzia sasa hivyo kila mtumiaji wa Windows Os hatalazimika kutumia mfumo wa Online

Mfumo huo wa (clouds connected service) badala ya kutumia mfumo wa (standalone products) kufanya activation..
 
Ukitumi njia ya online ya kmspico mambo yanakuwa burudani 😎
 
Back
Top Bottom