Ninavyojua unaongoza kutukanwa kwa kumshambulia mtu mwema na kuwatetea wauwaji na waporaji wa rasilimali zetu wanaokulipa.Yaani mtu yupo korokoroni na ana kesi ya kujibu, hayo maisha yake yamekua hatarini lini? In fact kwa uchochezi, uharibifu na maafa alioyoyachochea na kutokea, wananchi wanaweza kua na hasira nae, but kwa uimara na umakini wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, uraiani hakuna tena rooms for criminals. All criminals belongs to jail.
Eti aende tu akaishi uhamishoni ughaibuni.
Halafu eti pale HQ kwenye chama chake viongozi wake wasivyojielewa eti wanapanga namna atakavyotoroka au kuikimbia nchi na kuelekea huko uhamishoni kwa mabwenyenye ya magharibi waliomtuma kuleta fujo Tanzania.
Hivi my friends, ladies and gentlemen, hata ukimtazama usoni mwake tu huyo kibaraka, unadhani anaikimbia nchi au anawakimbilia mke na watoto wake huko ng'ambo, ambapo amewamisi sana?
Unadhani ikiwa itatokea hivyo,
kuna siku huyo kibaraka atafikiria au atatamani au atajaribu au atathubutu kurudi tena Tanzania na kukiuka sheria na katiba ya nchi kwa makusudi?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Hiyo chess mnayoicheza kuna siku itawatokea puani.Yaani mtu yupo korokoroni na ana kesi ya kujibu, hayo maisha yake yamekua hatarini lini? In fact kwa uchochezi, uharibifu na maafa alioyoyachochea na kutokea, wananchi wanaweza kua na hasira nae, but kwa uimara na umakini wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, uraiani hakuna tena rooms for criminals. All criminals belongs to jail.
Eti aende tu akaishi uhamishoni ughaibuni.
Halafu eti pale HQ kwenye chama chake viongozi wake wasivyojielewa eti wanapanga namna atakavyotoroka au kuikimbia nchi na kuelekea huko uhamishoni kwa mabwenyenye ya magharibi waliomtuma kuleta fujo Tanzania.
Hivi my friends, ladies and gentlemen, hata ukimtazama usoni mwake tu huyo kibaraka, unadhani anaikimbia nchi au anawakimbilia mke na watoto wake huko ng'ambo, ambapo amewamisi sana?
Unadhani ikiwa itatokea hivyo,
kuna siku huyo kibaraka atafikiria au atatamani au atajaribu au atathubutu kurudi tena Tanzania na kukiuka sheria na katiba ya nchi kwa makusudi?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Hata avatar name inaweza akisi tabia ya mtu Tlaatlaa yaani tarariramaelezo yako ni porojo gentleman, just relax ikiwa uko pointless zaidi ya hapo 🐒
PumbaNi lazima CHADEMA wajifunze kutii sheria bila shuruti
kutukana na kuporomosha matusi jukwaani si ndio taaluma yenu gentleman ambayo haina athari zozote zile kisiasa kijamii na kiuchumi? au hujui hilo?Ninavyojua unaongoza kutukanwa kwa kumshambulia mtu mwema na kuwatetea wauwaji na waporaji wa rasilimali zetu wanaokulipa.
Lissu amewahi kusaini mkataba wowote wa kuuza Nchi kama hao wezi wa Chama chako???
Ha ha ha ha ....hiyo ni kama wale ma Ustaadh Pemba na Zenj wame staafu!huna haja ya ramli nyepesi hivyo katika kipindi hiki cha sayansi na teknilojia gentleman 🐒
Unayemuita mhalifu amesaini mkataba wowote kuuza mali na rasilimali zetu ?kutukana na kuporomosha matusi jukwaani si ndio taaluma yenu gentleman ambayo haina athari zozote zile kisiasa kijamii na kiuchumi? au hujui hilo?
ukitukana,
maana yake si unajiexpose ulivyo empty head tu mbele ya jamii, au kuna cha ziada mnapata?
hakuna alietajwa kwenye uzi, na kwahivyo hakuna haja ya kumbwelambwela vitu useless jukwaani, jikite kwenye hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi 🐒
Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo VirojaPumba
NonsenseHoja hujibiwa kwa hoja na siyo Viroja