Fundi bomba afunge maji na kufuatilia chanzo cha tatizo.
Et kwa upendo!!!Hapo unawaita wote alafu unawaomba wafanye kazi kwa upendo 😁
Hahahaha 🤣Hapo unawaita wote alafu unawaomba wafanye kazi kwa upendo 😁
Maji yakidhibitiwa na kukaushwa kwenye miundombinu ya umeme, wawezakuta conection za umeme ziko sawa na pasiwe na tatizo.Nafikiri Pia aje fundi umeme kuangalia madhara ya maji yaliyofanya kwenye chanel hio ya switch
waje tu wote, wakae kama kamati, waone tatizo limeanzia wapi na limeleta athari ganiNafikiri Pia aje fundi umeme kuangalia madhara ya maji yaliyofanya kwenye chanel hio ya switch