Sasa hapa ndipo waliokuwa Walinzi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli wanapoanza Kupigwa Bao taratibu na Kuchekwa na wa Rais Samia

Achana na lindo mzee, lile dude linachakaza kwelikweli…
Lindo linawahusu sana sana junior officers,sasa hawa wanaowalinda viongozi wameshatoka huko ni seniors sasa majukumu yao kwa kiasi kikubwa yanabadirika utawakuta ofisini ama huwa agents supervisors(mfano.kiongozi anakuja kwenye mkutano eneo A basi hawa ndiyo wanakuwa incharge wa usalama kwa eneo hilo,lakini pia ugeni kutoka nje ukija nchini mara nyingi hawa huwa attached na ugeni huo kuulinda).
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kesho tarehe 18 Septemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea New York nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo tarehe 23 anatarajiwa kulihutubia Baraza hilo.

Chanzo: itvtz

Kuna Watu Kumbukumbu yangu inaniambia kama ni Kusafiri sana bali ilikuwa ni Afrika Kusini na Zimbabwe ila Kwingineko (Overseas) watakusikia tu kwa hawa Wenzao wa sasa.

Na kinachouma na mpaka kufanya Mightier niwaonee Huruma Walinzi fulani ni kwamba walikuwa Wakiwadharau mno hawa wa sasa wanaoenda Marekani huku wakisahau kuwa Siku zote aijuae Kesho ni Mwenyezi Mungu pekee.

Kuna Watu Wanne wa Makumbusho najua hivi sasa kwa hili Bata wanaloenda Kula Wenzao ( waliokuwa wakiwadharau ) walipokuwa na Mwamba Sura zao zitakuwa zimenuna mno na Misonyo Kutawala tu mahala walipo kwani asikuambie Mtu Ne
wewe ni akili ndogo.
 
Daah yani wamekua walinzi?

IMG_0322.jpg

Watu wengine ndio muda wao huu…
 
Najua ulikuwa sehemu ya Kikosi cha Baba Kwaheri na Ulaya uliisikia tu hivyo sasa una Hasira, Wivu na Uchungu na Bata la maana wanalokula wa Kikosi cha Mama aliyepo. Pole sana Ndugu na nisalimie hapo Makao na Magogoni ulikorudishwa na sasa Kazi kubwa uifanyayo ni Kusoma tu Kurasa za Magazeti na Alasiri unarudi kucheza na Bata Mzinga wako unaowafuga pale Kwako Mbweni.
😅😂😂😂
 
Hebu ngoja nikuulize mkuu! Nina marafiki zangu wawili mmoja alisoma hadi form 6 na mwingine nadhani aliishia form 4 wote walienda mafunzo zanzibar kama sikosei mmoja alikaa zaid mafunzon lakin kazi mmoja alipangiwa kaz za ulinzi kwenye nyumba za viongoz na mwingine alienda kwenye ulinzi wa rais moja kwa moja na hadi sasa yuko huko.
Kinachonishangazaga ni kuwa huyo mmoja eti amefukuzwa kazi na karudi nyumban sahiv tuko naye tena alikondaaaa alikaa bila kaz muda mrefu baadae ndiyo kapata kaz ya udereva ambayo hadi sasa ndo anayoifanya kwenye kampuni moja kubwa lakini..sasa je wanafukuzwaga kazi au yule ni zuga tu? Pili kwanini yule alianza na ulinzi wa rais moja kwa moja?
Majibu ya Maswali yako unayoyataka si salama sana kwa Usalama wa Taifa na nitashangaa na Kusikitika kama huyo uliyemuuliza nae atakuwa Mpumbavu na Kukujubu hapa hapa penye Wengi wazuri na wabaya.
 
Naona mliokuwa Team ya Ulinzi wa Hayati mna Hasira na Wivu kweli kweli. Hivi si ndiyo nyie nyie mlikuwa mnawadharau Walinzi Wenzenu wa Mama Kipindi akiwa Makamu? Sasa Wenzenu leo wanaitafuta New York ( Marekani ) Kudadadeki.
Duh!!
Una umri gani jamani?
Samahani lakin!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kesho tarehe 18 Septemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea New York nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo tarehe 23 anatarajiwa kulihutubia Baraza hilo.

Chanzo: itvtz

Kuna Watu Kumbukumbu yangu inaniambia kama ni Kusafiri sana bali ilikuwa ni Afrika Kusini na Zimbabwe ila Kwingineko (Overseas) watakusikia tu kwa hawa Wenzao wa sasa.

Na kinachouma na mpaka kufanya Mightier niwaonee Huruma Walinzi fulani ni kwamba walikuwa Wakiwadharau mno hawa wa sasa wanaoenda Marekani huku wakisahau kuwa Siku zote aijuae Kesho ni Mwenyezi Mungu pekee.

Kuna Watu Wanne wa Makumbusho najua hivi sasa kwa hili Bata wanaloenda Kula Wenzao ( waliokuwa wakiwadharau ) walipokuwa na Mwamba Sura zao zitakuwa zimenuna mno na Misonyo Kutawala tu mahala walipo kwani asikuambie Mtu New York siyo sawa na Johannesburg ( Gauteng ) au Harare au Dodoma au Tandahimba au Karagwe.

Tuacheni Dharau tukiwa katika Nafasi.
Fact
 
Majibu ya Maswali yako unayoyataka si salama sana kwa Usalama wa Taifa na nitashangaa na Kusikitika kama huyo uliyemuuliza nae atakuwa Mpumbavu na Kukujubu hapa hapa penye Wengi wazuri na wabaya.
Usimtishe, mbona kufukuzwa kazi kawaida.
 
Back
Top Bottom