Sasa hapa ndipo waliokuwa Walinzi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli wanapoanza Kupigwa Bao taratibu na Kuchekwa na wa Rais Samia

1D8C3310-8066-410C-B424-AD16FAD05569.jpeg
Umemuona Aliyewahi kuwa mlinzi wa Hayati JPM kushoto (Mwenye sigda kwenye paji la uso) naona kuna mabadiliko katika ulinzi wa Mama, wale wanaume wa kazi wameenza kurudishwa moja baada ya mwingine.
 
Mliokuwa Walinzi wa Baba aliyeondoka imebaki nafasi moja hebu chaguaneni ili Mmoja wenu akawawakilishe huko New York ( Marekani ) kwani wengi wenu mna Uzoefu tu wa Tandahimba, Karagwe na Buchosa.

Kutesa kwa zamu Kudadadeki mtanuna.
Buchosa utakua mzinza wewe
 
View attachment 1954321Umemuona Aliyewahi kuwa mlinzi wa Hayati JPM kushoto (Mwenye sigda kwenye paji la uso) naona kuna mabadiliko katika ulinzi wa Mama, wale wanaume wa kazi wameenza kurudishwa moja baada ya mwingine.
Ila siyo close bodyguard nadhani hapa alikuwa na majukumu mengine,hayupo inner circle.

Japo haitashangaza jamaa ni mkongwe kitambo amekuwa kwa PM Pinda awamu ya 4 pia.

Maana kiongozi wao wa kwa Mama sasa hivi alikuwa pia kwa Mzee Pinda kipindi fulani awamu ya 4.
 
Yule bodyguard yu wapi mwenye macho madogo? Huyu sigda naona karudishwa huku
 
Wewe kama mmoja wa hiyo circle ya ulinzi ulikuwa unakerwa sana na kudharauliwa na wenzako?

Tuachane na hayo. Mlinzi wa raisi kweli anaweza kumaliza mafunzo yake hapahapa mchini bila kutoka nje ya nvhi kuona wenzake wanafanya nini?
Mkuu tatizo watu wanajifanya wanawajua sana hao watu
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kesho tarehe 18 Septemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea New York nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo tarehe 23 anatarajiwa kulihutubia Baraza hilo.

Chanzo: itvtz

Kuna Watu Kumbukumbu yangu inaniambia kama ni Kusafiri sana bali ilikuwa ni Afrika Kusini na Zimbabwe ila Kwingineko (Overseas) watakusikia tu kwa hawa Wenzao wa sasa.

Na kinachouma na mpaka kufanya Mightier niwaonee Huruma Walinzi fulani ni kwamba walikuwa Wakiwadharau mno hawa wa sasa wanaoenda Marekani huku wakisahau kuwa Siku zote aijuae Kesho ni Mwenyezi Mungu pekee.

Kuna Watu Wanne wa Makumbusho najua hivi sasa kwa hili Bata wanaloenda Kula Wenzao ( waliokuwa wakiwadharau ) walipokuwa na Mwamba Sura zao zitakuwa zimenuna mno na Misonyo Kutawala tu mahala walipo kwani asikuambie Mtu New York siyo sawa na Johannesburg ( Gauteng ) au Harare au Dodoma au Tandahimba au Karagwe.

Tuacheni Dharau tukiwa katika Nafasi.
Wewe uliyeandika boya kabisa, hujui hizo ndo tozo zetu zinatafunwa

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
inaonekana huko mna majungu na wivu sana, sasa sijui viapo vyenu ni vya kijeshi kweli au maigizo ya kaole
 
Mbona mnakerana maafisa vipenyo , ukweli ni kwamba kutesa kwa zamu jamani, muwe wapole tu maisha yaendelee. kazi za ulizi nazo kazi jamani mnataka kutoana roho bureee, hata daiomond naye ana walinzi ni ajira tu wajameni
 
Wewe kama mmoja wa hiyo circle ya ulinzi ulikuwa unakerwa sana na kudharauliwa na wenzako?

Tuachane na hayo. Mlinzi wa raisi kweli anaweza kumaliza mafunzo yake hapahapa mchini bila kutoka nje ya nvhi kuona wenzake wanafanya nini?
Posho je? Madem wakal wa umangani! We hayo huyaoni?
 
Sasa mnatakaje, viongozi wasitembee kweli? International relations at the Presidential level watafanyaje? Mtasema Mabalozi watamaliza, sawa lakini na input ya Rais at one level ni muhimu. Halafu kwa upande wa huu Mkutano wa UN General Assembly (UNGA), kuna some costs UN ina lipia. Hivyo isiwe taabu sana.
Asante kwa kunielewesha kuhusu neno UNGA lilikua linanipa tabu kujua manake..kumbe wanalipiwa pia?
 
View attachment 1954321Umemuona Aliyewahi kuwa mlinzi wa Hayati JPM kushoto (Mwenye sigda kwenye paji la uso) naona kuna mabadiliko katika ulinzi wa Mama, wale wanaume wa kazi wameenza kurudishwa moja baada ya mwingine.
Kwani walitolewa wote? Siyo wote hlf huyo si unaona kama anaitikadi za zenj? Mama haachi mtu wa zenji burebure tu..wana lugha yao
 
Ila siyo close bodyguard nadhani hapa alikuwa na majukumu mengine,hayupo inner circle.

Japo haitashangaza jamaa ni mkongwe kitambo amekuwa kwa PM Pinda awamu ya 4 pia.

Maana kiongozi wao wa kwa Mama sasa hivi alikuwa pia kwa Mzee Pinda kipindi fulani awamu ya 4.
Yaan kamlinda wazir mkuu akastaafu hlf akapandishwa cheo amlinde rais? Wachaaa kwahii hii chen ikoje ya pale makumbusho?
 
Mbona mnakerana maafisa vipenyo , ukweli ni kwamba kutesa kwa zamu jamani, muwe wapole tu maisha yaendelee. kazi za ulizi nazo kazi jamani mnataka kutoana roho bureee, hata daiomond naye ana walinzi ni ajira tu wajameni
Haaahaaa umenichekesha sana! Wanataka kutoana roho kisa ulinzi wa mama? Wanalupwa sh ngap kwan au ni uzalendo zaid?
 
Back
Top Bottom