othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 5,668
- 9,055
Mifuko 100 unataka kujenga shule?Kama una hela ya kuanzia mifuko Mia nenda kiwandani unanunua kwa bei ya jumla. Kwahapo kigamboni nenda nyati cement
Mifuko 100 unataka kujenga shule?Kama una hela ya kuanzia mifuko Mia nenda kiwandani unanunua kwa bei ya jumla. Kwahapo kigamboni nenda nyati cement
Mifuko 100 unataka kujenga shule?
[/QUOTk
Mingine si unauza urudishe pesa yako. Acha uzwazwa.
Uku nilipo Hata sijui Ni wapiHakuna anayesema alipo.
Na mimi huku kwetu cement bei ni 12000
Mfuko mmoja wa cement ya Twiga plus, napiga tofali ngapi za biashara.
Yaani sementi inapanda bei wewe unasema nini kuwa ndio watu watajenga mbona sinakuelewa?!Sasa hivi ujenzi umepamba moto kila mahali.. Mambo ni moto.. Vijana wasio na elimu hawatokosa kazi kama sio wavivu.. Site za kujenga ziko kibaoo.. Huu ni wakati wa wenye viwanda na hardwares kuvuna pesa!
Ngoja nitumie mfano tata kukuuliza swali.Yaani sementi inapanda bei wewe unasema nini kuwa ndio watu watajenga mbona sinakuelewa?!
ThubutuuKama una hela ya kuanzia mifuko Mia nenda kiwandani unanunua kwa bei ya jumla. Kwahapo kigamboni nenda nyati cement
Mifuko 100 unataka kujenga shule?
Sio mingi kama unapiga tofali..hapo tofali 4000 standard au 3500 ukiamua kufyatua tofali 35 kwa mfuko...kwa kujengea tu...ni mingi.Hivi kumbe mifuko 100 ni mingi sana!
Sio mingi kama unapiga tofali..hapo tofali 4000 standard au 3500 ukiamua kufyatua tofali 35 kwa mfuko...kwa kujengea tu...ni mingi
Kwa kifupi ni michache kwa standard house yaani vyumba vitatu.. sebule.. jiko.. dining...Kuna tofauti kati ya kujenga na kujengea?
Kwa hesabu zako hapo, mifuko mia imeishia kupiga tofali tu.... hivyo utahitaji mingine kwa ajili ya kujengea.
Bado ni mingi?
Swali la mdau lilikuwa: “Mifuko 100 kwani unajenga shule?”
Sio kwamba kwa sasa vijana wanajenga sana, ni hii miradi mikubwa ya standad geji na kule bwawa la umeme, ile miradi inakula cement usipime.Sasa hivi ujenzi umepamba moto kila mahali.. Mambo ni moto.. Vijana wasio na elimu hawatokosa kazi kama sio wavivu.. Site za kujenga ziko kibaoo.. Huu ni wakati wa wenye viwanda na hardwares kuvuna pesa!