Sare za bar!!

Sare za bar!!

ddsmchau1712

Member
Joined
May 13, 2011
Posts
37
Reaction score
9
Hivi inakuwaje kijana au msichana wa watu umevunja kabati... ukajikoki kwelikweli, yaani ile yenyewe.... na ukichukulia ndio mtoko wa kwanza na boyfriend/girlfriend mpya uliyemaliza soli sana kupata "YES" yake ya kutoka na wewe jioni. Mnachagua bar moja safi kabisa iliyotulia... mnafika hapo na kukaa... mara heeeee unacheki wahudumu wote iwe ni wakike or kiume "wamevaa sawa kabisa na pamba zako!"..... yaani copy kabisa, yaani ukisimama au ukikaa mtu yeyote yule lazima ajue wewe ni mhudumu wa bar hiyo.... NOW TELL ME... WHAT NEXT!!?
 
Hivi inakuwaje kijana au msichana wa watu umevunja kabati... ukajikoki kwelikweli, yaani ile yenyewe.... na ukichukulia ndio mtoko wa kwanza na boyfriend/girlfriend mpya uliyemaliza soli sana kupata "YES" yake ya kutoka na wewe jioni. Mnachagua bar moja safi kabisa iliyotulia... mnafika hapo na kukaa... mara heeeee unacheki wahudumu wote iwe ni wakike or kiume "wamevaa sawa kabisa na pamba zako!"..... yaani copy kabisa, yaani ukisimama au ukikaa mtu yeyote yule lazima ajue wewe ni mhudumu wa bar hiyo.... NOW TELL

Wewe ndio umefanana na muuza bar na sio muuza bar kafanana na wewe!
 
Hivi inakuwaje kijana au msichana wa watu umevunja kabati... ukajikoki kwelikweli, yaani ile yenyewe.... na ukichukulia ndio mtoko wa kwanza na boyfriend/girlfriend mpya uliyemaliza soli sana kupata "YES" yake ya kutoka na wewe jioni. Mnachagua bar moja safi kabisa iliyotulia... mnafika hapo na kukaa... mara heeeee unacheki wahudumu wote iwe ni wakike or kiume "wamevaa sawa kabisa na pamba zako!"..... yaani copy kabisa, yaani ukisimama au ukikaa mtu yeyote yule lazima ajue wewe ni mhudumu wa bar hiyo.... NOW TELL ME... WHAT NEXT!!?

Hahahahaaa nakumbuka jamaa yangu mmoja aliahirisha kupiga kilaji pamoja nasi kisa nguo, alikuwa kapigilia shati lake jeupe zuri suruali nyeusi na tai ya damu ya mzee na viatu vyeusi, ni wakati anapita katikati ya meza kuja tulipo akashtukia anaitwa ili aagizwe kinywaji kumbe pamba zake ndio ilikuwa sare ya ile bar
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom