Sare mpya ya CHADEMA yatikisa nchi, wananchi waisaka kila kona bila mafanikio

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,340
Katika Vikao vya CHADEMA vinavyoendelea kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, dunia nzima inaangalia nani atapeperusha bendera ya chama hicho katika kuikomboa Tanzania, kuna taarifa kwamba zaidi ya watu bilion 1 duniani wanafuatilia mkutano huo .


Lakini sisi wengine tumejiongeza kidogo na kuamua si tu kufuatilia mkutano wenyewe bali pia kuangalia hata mandhari ya ukumbi ikiwemo na unadhifu wa wahudhuriaji ( siyo wajumbe )


Hakika huu uzi si wa kitoto ! Natoa wito kwa Chadema kuwa na CHADEMA SHOP ili kuondoa usumbufu kwa wananchi wanaozisaka sare hizi mpya bila mafanikio na huku soli za viatu vyao zikipukutika , waigaji wajaribu na hili nalo tuone kama wataweza .


Mungu ibariki CHADEMA
 
Dafatri la wapiga kura limeshafungwa nadhani...chadema sikuona wakihimiza watu kwenda kujiandikisha kama mwaka 2015...watu hawataki kuona ukweli...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…