Sarakasi za Vote 20 iliyopokea bilioni 978 ripoti ya CAG

Piga ua Rais yupo above the law hapa Tanzania! Acha utoto wenu

Duuu mkuu hili povu sio la nchi hii. Ni kweli yuko juu ya sheria hilo hatukatai, ila anapojifanya ni msafi wakati ni mwizi hapo ndio tunabaki vinywa wazi.
 
Unajua maana ya head of household? Hivi unajua kuwa fedha yote ni ya JPM na JPM ndiye accounting officer wa nchi hii? Anaktuma CAG aangalie fedha alizowapa mawaziri kama wamezitumia atakavyo? Usiwe mpuuzi kutaka hata yeye kuwajibika kwa mtu hapa TZ! Kumchukia hakuondoi madaraka yake ndo maana anasema nimetoa hela ikatengeneze uwanja wa ndege, he is right! Hata TL wenu baada ya 2025 akiwa rais ni haki yake
Aisee nchi za Afrika zitatawaliwa na viongozi wa ajabu ajabu kwa miaka mingi sana. Hususani kama kuna watu wengi wenye mawazo kama haya. Yaani anaona ni sawa kabisa kiongozi wa nchi kubadilisha matumizi ya fedha za umma. Ndio maana hata Mobotu alikuwa na wafuasi. Nilitarajia ungeanisha udhaifu wa katiba iliyopo inayompa kiongozi wa nchi madaraka kama hayo, wewe unaona ni sawa kabisa na unasema hata mwingine wakija itakuwa haki yake!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama HAZINA ndo kumejaa Maprofessa, Ma Phd, Ma Masters, MaCPAS, Mabachelors ndo usiseme kwa nini wanashindwa kufanya usuluhisho wa Benki, Wanashindwa kuleta nyaraka mbele ya CAG. Nadhani pale kuna tatizo ni vyema Mhe. Rais akachukua hatua ili pale pawe pamerekebika.
 
Mkuu OKW, yaani rais aagize ajikague?. Nilidhani ni kazi ya Bunge kuisimamia Serikali hivyo Bunge likiona kuna vitu havieleweki ndio lina muagiza CAG afanye Ukaguzi Maalumu wa hiyo Vote 20 unless kama ni vote ya Eagle Creek.
P
Mkuu kamati ilitoa maagizo juu ya hiyo Vote 20; yamenyofolewa dakika za mwisho. Maana yake bunge ni jina tu wako wabunge watendaji toka Ukulu walio juu kuliko Bunge..
 
Mkuu OKW, yaani rais aagize ajikague?. Nilidhani ni kazi ya Bunge kuisimamia Serikali hivyo Bunge likiona kuna vitu havieleweki ndio lina muagiza CAG afanye Ukaguzi Maalumu wa hiyo Vote 20 unless kama ni vote ya Eagle Creek.
P
Bunge lenyewe ndo hilo! Walio wengi ndo hao! msimaizi wa mhimili huo ndo huyo hana uwezo wa kumuagiza CAG kugagua vote 20 kwa vile alivyoshikwa na mkuu wa mhimili wa magogoni unaohitaji kukaguliwa!
 
Hazina saivi ni kama duka la familia, kila mwanafamia akiingia anachukua anachotaka, baba wa familia ndio anajibebea hela hadi kwenye masandarusi
 
mi nimeshawahi kuuliza; hizi pesa mkuu anazogawa gawa hovyo wakati wa ziara zake za kiserikali; tena anagawa cash (mabulungutu ya pesa) anatoa kwa account gani? Bila shaka kwenye hiyo acount kutatoka pesa nyingi zaidi hadi kufikia hizo hundreds of billions. Wananchi kwa kupitia wawakilishi wao (bunge) wako kimya au hata hawajui kinachoendelea! This country is in a very sorry state!
 
Hii ndiyo inaitwa Serikali kulisimamia bunge na si bunge kuisimamia serikali, Uhalisia ni kwamba awamu ya tano ndiyo awamu iliyojaa ufisadi kuliko awamu zilizopita, utofauti wake ni kwamba, serikali ya awamu ya tano haijaribiwi, haipangiwi, haihojiwi, haikosolewi, na inajua kila kitu.
 
Hapa kazi tu
 
Mkuu OKW, yaani rais aagize ajikague?. Nilidhani ni kazi ya Bunge kuisimamia Serikali hivyo Bunge likiona kuna vitu havieleweki ndio lina muagiza CAG afanye Ukaguzi Maalumu wa hiyo Vote 20 unless kama ni vote ya Eagle Creek.
P
Mkuu Paskali, umelisahau bunge letu ambalo ni kitengo kidogo cha idara fulani ya ikulu!....ndugai hawezi kujaribu chochote bila ya maelekezo toka juu
 
Mkuu OKW, yaani rais aagize ajikague?. Nilidhani ni kazi ya Bunge kuisimamia Serikali hivyo Bunge likiona kuna vitu havieleweki ndio lina muagiza CAG afanye Ukaguzi Maalumu wa hiyo Vote 20 unless kama ni vote ya Eagle Creek.
P
JPM, a minister of finance, minister of transport and telecommunications, minister of water and energy, and so on
 
Sote tumesikia tuhuma za bilioni 978.

Ripoti ya CAG imeweka wazi kuwa kuna bilioni 978 zilizoingizwa vote 20 bila kuidhinishwa na bunge na yeye CAG.

Utata uko hapa
Nimesikia mbunge wa upinzani akisema hii Vote 20 ni vote ya ikulu pale kwa mzalendo kiboko ya mabeberu. Mbunge ameongeza kuwa Vote 20 haikaguliwi. Means kama kuna uozo hamuwezi kujua.

Utata mwingine ni kuwa katika kamati ya PAC kulikuwa na maazimio kuhusu hiyo Vote 20 ambapo maazimio yale yamenyofolewa dakika za mwisho. Haaaaa haaaaa labda kwa sababu ya usalama wa nchi.

My Take
Vote 20 kutokukaguliwa na maazimio ya kamati kunyofolewa hakuwashitui watanzania? Kwa nini hii vote Rais asiagize hii vote ikaguliwe ili ukweli uwekwe wazi?
Huyu Rais Mungu wangu namwonea huruma, yasije yakamkuta ya akina Saweli Doe - anapenda kupiga but he is not smart at all
 
Back
Top Bottom