Vita ni vibaya na huwezi kuvishabikia lakini binaadamu na hasa wenye madaraka wamejaa viburi kwa kutegemea bunduki hizo hizo na majeshi hayo hayo.
Hebu chukulia kama kwetu hapa. Wananchi wamependekeza katiba wanayoitaka lakini watawala hawaitaki na wamefanya bila na kuikrash!!. Angalia kama Zanzibar wamechagua wanaemtaka lakini watawala hawamtaki wamefuta uchaguzi na wamemuweka wa kwao na ni kwa kutegemea bunduki hizo hizo na wanajeshi hao hao. Hapo vita utaviepukaje??!
Mbaya sana vita haifai kbs. Kwa bahati mbaya sana historia inatukumbusha mara zote vita husababishwa na watawala(wenye mamlaka). Mungu atuepushie mbali
Asante kwa ufafanuzi hata mimi nimeona... Haya ndio madhaifu ya kupost daybMbona hauleweki .maana hapo umezungumzia vita mbili tofauti...kuna ile ya Bosnia - Herzegovina hii ilikuwa sehemu ktk Muungano wa Yugoslavia na ukajumuisha na Chechnya ambayo ni sehemu ya nchi ya Russia.
Vita hizo ni mbili tofauti na sehemu tofauti.
Wangapi wanaikumbuka hii vita ya Bosnia way back early 2000? Vita ya usaliti na kuvhonganishwa? Vita ile ya Chechnya na wachechen.... Jinsi ilivyo Ondoka na maelfu ya roho zisizo na hatia huku ustawi wa nchi hiyo ukianguka kabisa hapa ni kabla ya vita.. Watu wakiishi kwa furaha nyusoni mwao lakini wakiwa na sononi mioyoni!
Baadae kikaundwa kikosi katili cha waasi wa Chechen waliotaka kujitenga na vita ikafumuka
Binadamu akiwa katikati ya ubora wake uhalisia wake ukaonekana
Mwisho wa vita hiki ndicho walichovuna
Je tuna cha kujifunza hapa? Vita haijawahi kuwa suluhu lakini watu wanapochoka na wakachoka kabisa matokeo huwa vita
Alishakubali kwamba alikosea. Ungemaliza kula kwanza, ukasoma michango iliyofuatia, kisha ukachangia taratibu. PoleHebu wacha kudanganya watu.
Chechen Republic ni moja ya nchi zilizokuwa zinaunganisha Soviet Union (Urusi) na Bosnia Herzegovina ni nchi iliyokuwa Yugoslavia zamani.
Chechen na Bosnia hazijawahi kuwa na vita unayotaka kuaminisha watu, Chechen hadi leo hii wanapigana vita ya kidini na Urusi.
Bosnia ni tofauti kabisa na Chechnya.
Tafadhali usijaze watu ujinga uliokuwa nao, fanya utafiti japo kiduchu kabla hujaja na uongo hapa JF.
Hakika kwa upuuzi huu ulioleta unazidi kujitanabahisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga.
Na humu unaowajaza ujinga wamo tu na utawaona wanasifia na wana comment huu ujinga.
Kwa watu kama wewe, Watanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Alishakubali kwamba alikosea. Ungemaliza kula kwanza, ukasoma michango iliyofuatia, kisha ukachangia taratibu. Pole
Daaah Mama mkanye taratibu maana majiranj watasikiaHebu wacha kudanganya watu.
Chechen Republic ni moja ya nchi zilizokuwa zinaunganisha Soviet Union (Urusi) na Bosnia Herzegovina ni nchi iliyokuwa Yugoslavia zamani.
Chechen na Bosnia hazijawahi kuwa na vita unayotaka kuaminisha watu, Chechen hadi leo hii wanapigana vita ya kidini na Urusi.
Bosnia ni tofauti kabisa na Chechnya.
Tafadhali usijaze watu ujinga uliokuwa nao, fanya utafiti japo kiduchu kabla hujaja na uongo hapa JF.
Hakika kwa upuuzi huu ulioleta unazidi kujitanabahisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga.
Na humu unaowajaza ujinga wamo tu na utawaona wanasifia na wana comment huu ujinga.
Kwa watu kama wewe, Watanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Asante kwa ufafanuzi hata mimi nimeona... Haya ndio madhaifu ya kupost dayb
Ilikua late 90's mkuu ambayo ilipelekea kuvunjika kwa nchi ya Yugoslavia.
Daaah Mama mkanye taratibu maana majiranj watasikia