Katika uchumi ambao hali yake bado ni tete ni UK. Maana kama utakumbuka kwamba bado wao wanaongeza pesa kwenye mzunguko na matumaini yako mbali. Wanatumia approach inayoitwa quantitative easing. Km utakumbuka vyema pia Governor wa EU miezi kadhaa iliyopita alisema anaiona UK sasa inaelekea kujiunga na EMU. Uchumi wa kuchangia unakuwa na nguvu.Mawazo mazuri.
Naamini wachambuzi wa masuala ya uchumi watakuwa na neno la kusema.
Hata hivyo utabiri wa kuanguka kwa GBP utategemea sana athari zitakazo tokana na juhudi za kuchochea uchumi zianazofanywa na Uingereza na mataifa yale yenye strong Economies.
Back to EA, suala la sarafu ni jema pia kwa Watanzania. Tanzania wanaplenty urable land, inayofaa kwenye kilimo, wanafursa kwenye madini, low level of political risks nk. Ingawa kuna matatizo pia kama inadquate skills nk. Lakini suala la kushare currency ni muhim saana.