Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,000
- 92,691
25yrs tayari Una Ngoma aisee utapata taabu Sana.
Vijana huku mtaani na Bodaboda wanajiachia Sana, wanashare mademu, Mwanamke mmoja anatembea hata na Wanaume 10 Mtaa mmoja
Natural lubricant Ikikata njiani kuna namna...Wanaweka Wese ili ganda la ndizi.
Sasa hiyo natural lubricant kuna muda inakata alafu yenyewe kama yenyewe vipi kama inavimelea. Ingawaje wanadai Vimelea wanakaa kwenye damu
🤣🤣🤣akikohoa kidogo anapata stress
Natural lubricant Ikikata njiani kuna namna...
Suluhisho mtumie tuu cndm kwa usalama kuliko mafuta...
Kabisa ngoja tuwaache....Hao vijana hawatakuelewa.
Ndom sijui kufanyaje, mahangaiko yote hayo ni ya nini?Endelea kuichapa kavu , endelea kusema ndomu zinamaliza utamu, na zinawasha, endelea kuichapa kwa nguvu zote ili ukomoe , endelea kujisifu sana kuwa unaisugua mpaka inatoa cheche.
Kaa kiaskari kijana , hakuna mlinzi wa afya yako zaidi yako mwenyewe, wale wazee wanyamanyama na futa jingi , jitambueni , mtameza njugu kama njiwa manga vilaza nyie.View attachment 3649155
Bwashee aliyekuambia kuwa kondomu inazuia ukimwi ni nani? Acheni uzinzi huo ni uchafu!Endelea kuichapa kavu , endelea kusema ndomu zinamaliza utamu, na zinawasha, endelea kuichapa kwa nguvu zote ili ukomoe , endelea kujisifu sana kuwa unaisugua mpaka inatoa cheche.
Kaa kiaskari kijana , hakuna mlinzi wa afya yako zaidi yako mwenyewe, wale wazee wanyamanyama na futa jingi , jitambueni , mtameza njugu kama njiwa manga vilaza nyie.View attachment 3649155
Ukimaliza tuu pale unawaza na kujilaumu juu.Unaichapa halafu unapita kitaa , usikia wana wanadai ile chuma ni cheche🤣 lazima uhare kwanza😅
Ushadanganywa bwashee kondomu haizuii ukimwi😄Aliye niambia ni shule na elimu kubwa bwashee
Sure , sema la kwako bwash
Kitakacho kuzuia usipate ukimwi ni kuacha uzinzi bwashee sio kutumia kondomu mbona mnaamini vitu vya kijinga aisee🤔Sure , sema la kwako bwashee
Tamaa mbele mauti nyumaEndelea kuichapa kavu , endelea kusema ndomu zinamaliza utamu, na zinawasha, endelea kuichapa kwa nguvu zote ili ukomoe , endelea kujisifu sana kuwa unaisugua mpaka inatoa cheche.
Kaa kiaskari kijana , hakuna mlinzi wa afya yako zaidi yako mwenyewe, wale wazee wanyamanyama na futa jingi , jitambueni , mtameza njugu kama njiwa manga vilaza nyie.View attachment 3649155
Kumuandaa ni mchakato mrefu mrefu. Mjini mambo mengi muda mchacheHiyo miwese mnayowawekea ma mamsi zenu kwny papuchi yana madhara makubwa..
Kama mwanaume unajiamini kwa shughuli yako kuanzia kumuandaa mtu wako why mtembee na michupa ya mafuta? Si mwanamke anayo naturaly au mnafanya kwenye makorongo mnahitaji grisi...😆😆