Sanaa ya kifo

Unaweza kutofautisha nafsi na roho???
Naona mpaka leo watu hajafika kwenye laptop ili wajibu swali lako hili..nilidhani majibu yako kichwani kumbe yanakaa kwenye laptop

Ni hivi Tarakilishi nafsi ni muunganiko wa roho na mwili. .hivi vitu viwili ndio vinatengeneza nafsi inayopewa utambulisho! kinyume cha hapo unakuwa na vitu hivi
-roho yako
-nafsi yako
- mwili wako nk nk
Lakini hivi vyote kisababishi kikuu ni muunganiko wa roho na mwili. roho hujitegemea lakini nafsi haiweZi kujitegemea
Na cha kushangaza ni kwamba hiyo roho inayojitegemea haiweZi kukamilisha nafsi bila kuwa na jumba/mwili
 
 
Umenikumbusha poem moja ya John Dones inaitwa 'DEATH, BE NOT PROUD'

itafute uisome @ Mshana Jr
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…