Sanaa ya kifo

Hakuna haja ya kuwa na uoga kuhusu kifo.

Ni mojawapo kati ya matukio mengi katika 'safari' hii inayoitwa maisha ambayo hatuna maamuzi binafsi kama vile kuzaliwa lini, wapi na wazazi gani....chombo cha kusafiria-ugumu/wepesi wa safari...kwa miguu, baiskeli, motokari, boti, meli, ndege....mwisho wa safari...lini, wapi na aina yake n.k

La msingi hapa ni kujua kuwa muda wako utakapofika utakuwa sehemu muafaka na kisababishi sahihi kitakuwepo kukamilisha tukio hili muhimu katika safari yetu...tubakize 'pumzi' kidogo za kuanzia 'safari' nyingine iwapo itakuwepo....
 
ni kweli mnyama ana huruma sana hasa kwa watoto...simba hata iweje hawezi kumla mtoto mdogo wa swala ama wa binadamu....nyoka hawezi kumgonga mtoto wa swala wala binadamu na watoto wa viumbe wengine...

Mbona nyoka anakula watoto wa njiwa?
 
...kabla hujazaliwa ulikuwa unajijua ulikokuwa unaishi?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unafanya kazi nzito sana.
 
Kifo kimejengwa kwenye mtazamo wa kutisha sana na si kila mmoja anatambua kwamba kifo si lolote bali ni kama kubadili usafiri ama kufaulu mtihani

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ghana mtu akifa huwa kuna kiwa na bonge la Party na hazikwi siku hiyo hiyo anaweza kuhifadhiwa mpaka mwaka mzima very fun.

666
 
Ghana mtu akifa huwa kuna kiwa na bonge la Party na hazikwi siku hiyo hiyo anaweza kuhifadhiwa mpaka mwaka mzima very fun.

666
Na Majeneza yao ulishawahi kuyaona?

Jukwaa la Picha kuna Uzi wa kitambo wa Majeneza ya huko pande za Ghana.

Halafu Mazishi yao baadhi sijui niseme Makabila!

Wanakodishwa kwa ajili ya kubeba Jeneza kwenda nalo Mazikoni.

Basi wanavyocheza nalo Jeneza, huku na wao wakiwa wanacheza, huwezi amini.

Huu Ulimwengu una mambo sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…