Samweli Sitta ni Mgonjwa

Status
Not open for further replies.
Apone ili iweje...hana faida yoyote...huyu mtu alibaka katiba ya wananchi hivihivi
Kwako ndio Hana faida, ila kwangu na kwa wenzangu wasiozibwa na chuki, wivu, visasi na ndugu wa mambo hayo, twamtakia AFYA NJEMA.
 
Unafiki tena!Yaani watu wamepewa taarifa mwenzao anaumwa then kwenda kumuona ni unafiki??Hii nchi tunaelekea wapi??
 
laana ya watanzania itawatafuna kila msaliti kufa tu.


swissme
 
Pole Baba,Kweli ulileta Mapinduzi ktk binge tukavutiwa nalo ilikua motooo,Richmond....binge lili balance has a mpaka kufikia upinzani na Ccm kuungana kupigania jambo moja!!
Kwa Richmond alikuwa na agenda yake mfukoni
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…