Anavuna alichopanda kwani hakuwa na huruma na watanganyika wengi ambao wanateseka sasa kutokana na kutokuwepo kwa katiba ya wananchi. Mara nyingi viongozi hulewa madaraka na kusau kuwa wote tuko safarini hapa duniani. Ile hela iliypotea kwa mkutano feki wa katiba na sherehe pale Dodoma ingeweza kuweka dawa na vifaa katika hosipitali zote za serikali. Mzee Sitta pole sana. Ulifanya machache mazuri mengi mabaya pamoja na ujenzi wa nyumba ya spika kule urambo hivyo ukipata ahueni tafuta namna ya kuwaomba watanzania msamaha.Jamani humu ndani jf hukuna huruma, Mzee anaumwa yapaswa kumfariji kwani kaleta mapinduzi kwny bunge letu.Mungu ampe maisha marefu.
sioni cha ajabu hapo na nashangaa kwa nini tanzania d wameipa kipaumbele habari ya mzee sitta kuumwa. leo kwake kesho kwa mwengine.
Kwa mtu mashuhuri kama huyu kuugua hadi anashindwa kutembea harafu taarifa ndo tunazipata leo nadhani si sawa, watu kama hawa ambao walijitoa kwa maslahi ya taifa hili wanatakiwa waangaliwe na jicho la ziada
Isijekuwa uchocheziWakuu habari hii imeandikwa na gazeti la Tanzania Daimaa, Aliyekuwa spika wa bunge la 9 Ndugu Samweli sitta ni mgonjwaa mpaka kutoweza kutembeaa. Mke wake adai anaendelea vizuri.
.
Bado naendelea kulisoma nilete habari kamili
My take..
Sijui kama serikali inalijua hilii
Na nina hakika kuanzia kesho au leo tutaanza kuona misafara ya viongozi kumtembeleaa kwa unafiki uliotukukaa
=======
Huu uzi unafaa uangaliwe saana.Inaelekea kuna watu wanashabikia guugua kwake....wakipatikana wakamatwe na wafungwe haraka saana.....Katiba mpya na uhai wa mtu wapi na wapi.
Na kufa napo ni Ukamilifu wa Hiyo Ibada. Hivyo Mungu na aendelee kutenda kadiri apendavyo.Kuugua ni ibada
Aisee watu wana hasira sana na huyu mzee. Najiuliza yeye mwenyewe akisoma comments hizi atajisikiaje? Atajiona hatakiwi kabisa hapa duniani. Sijui mkewe na watoto wakisoma wanajisikiaje? Kweli humu nimeona maoni ya watu wenye hasira kali! Kumbe watu hawasahau ee? Mimi naomba tumsamehe na tumuombee afya njema kama binaadamu. Inshaalah Mungu atamponya!
Wote huumwa na wote tutakufa lakini mzee sita alionesha tabia ambazo maiti huonesha kwa waliokuja kumzika maana anauhakika hawatamuona tena na ndo maana ya balibabambonahi,mzee alijidhihirisha hivyo katika bunge la katiba,muache achapwe maana mshahara wa dhambi ni mauti.
Anzisha thread mpya. Hapa tuna kula ugali usituchanganyie na pilau!Jana ilikua sikukuu ya Eid Alhaji. Magazeti yote yameipa coverage kubwa sana sikukuu hii isipokua gazeti hili
Anzisha thread mpya. Hapa tuna kula ugali usituchanganyie na pilau!
Nakuunga mkono. Wa kulaaniwa ni wale wabunge wa bunge maalum la katiba waliopitisha maamuzi mabaya kwa kizazi kijacho. Ingekuwa Magu sio partisan, nadhani angemuru ile rasimu ya pili ya Warioba ndio ipitishwe, kwa marekebisho kidogo tu.Kumbuka yeye alikuwa msimamizi tu na hakuwa ndiye mwenye kufanya maamuzi ya mwisho. Ila wale wabunge wa bungee maalumu la katiba ndio wa kulaumiwa kwa ujumla wao.
Alitania mkuu.Huyu si alisema Lowasa ni mgonjwa