[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anatakiwa mwandishi wa habari makini muda na kipindi hiki anapoumwa akamuulize "hivi ni kweli kuna wabunge wa bunge la katiba walipiga kura wakiwa hija?
Tunaweza kupata jibu zuri sana.
Teh! Teh! Teh"Kosa lile la kuchafua katiba yetu sijui kama nitakuja kumsamehe, labda akiwa kaburini ndiyo naweza kumsamehe
Apigwe mapigo saba kama aliyopigwa Farao,heri kijana mweye busara kuliko lizee limfalme lisilo na busara.
Unafiki wake karibia utafika tamati,alisuka mbinu na kitengo kummaliza Ngoyai mpendwa wetu na wakamsingizia mambo meeengiiii.....sasa mwisho akachakachua bunge la katibaa,najua wote ni wa Mungu lkn yy hakuonesha utukufu wa Mungu,,,naomba Mungu ampe mateso makali kama ya yule waziri aliyeponea chupuchupu India
Mara nyingi ni viongozi na ndo maana wanang' ang'ania sanaa madaraka bila uongozi hawaishi kwa amani na ndo maana hufa mapema mara tu baada ya kustafuUtafiti unaonesha wanaostaafu asilimia kubwa hufa ndani ya miaka mitano...
Kilichobaki ni kumuombea Mungu amponye si vinginevyoMmmhhhpolene