Mapondo Mapoka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 274
- 135
Ni mtangazaji wa TBC. Chanzo ni spika wa bunge.
R. I. P mtangazaji
Tupia picha na wengine tumfahamu.
Ni mtangazaji wa TBC. Chanzo ni spika wa bunge.
R. I. P mtangazaji
Ukiyasoma kwa haraka maandishi ya mleta mada utaona kama kuna mkanganyiko kidogo wa lugha...
Usipotafakari unaweza kudhani chanzo cha kifo hicho ni spika wa bunge...
RIP Samwel.........ila mmmmh............bunge hili...........
Mbona mie sijaona?au star tv wameruka hicho kipengele?nipo luningani kunako saa 3, kwaheri mtangazaji na pole kwa famil
Poleni familia,kalale ulipojichagulia..
Ni mtangazaji wa TBC. Chanzo ni spika wa bunge.
R. I. P mtangazaji
=====================